Kodi zetu tunazohamasishwa kulipa zinatumika kuwabeba askari waliovaa nembo za taifa viunoni na vichwani tena wakiwa na bunduki,waende clouds kufuatilia video ya shilawadu?
Askari hawa waliopigana vita ya kagera?
Askari hawa waliopigana Moroni komoro?
Askari hawa walioituliza Kongo DR?
Askari hawa wenye sifa duniani kote ya kulikomboa bara la afrika?
Wanafanyishwa kazi ya kutafuta shilawadu?
Darasa alisema "too much"