Kuvamia studio hakuna tofauti na Jambazi wanaoteka nkTunahitaji kujua kilichoko kati ya JPM na huyu RC!!
inakuwaje shutuma zote hizi JPM kimya??
Yaani hadi kuvamia studio na silaha. Hii nchi haina intelijensia ya kumshauri mkuu??
Au ni home boy acha afanye atakalo kaka atamlinda...
Sawa tumekuelewa chocochanelKuna nini la kushangaza!?
Huwa hawaiti au?
Makonda oyeeeeeeeeeee
Pale akili ndogo inapojarib kuipiku akili kubwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani kwa ushahidi huu kunaitajika kujua cheti cha clinic kilicho onyeshwa na huyo anaejiita alizalishwa na Gwajima kua nani alikiandaa, tafadhari tu naomba mamlaka kutokufumbia macho haya mambo mwisho wake utakua mbaya sana.
Ule mlango ulijilock na nahisi yule jamaa mapokez ndio anaaccess pale alipokaa. Itazame upya video utaielewayule mjeda kwenye video anaonekana kabisa kalazimishwa dizaini hawaelewi vile....
Afukuzwe tu
Jackline nimependa ulivyofikiri... yes inawezakana kuwa hii ishu ni staged ili mkulu amwondoe kwa ushu nyingine.. lakin si ile ishu ya vyeti ili kukwepa aibuThis could have been stage managed ili mkulu amtumbue kwa kisingizio cha kutumia madaraka vibaya-na sio kuhusiana na vyeti-Tanzanians,we need to look at the bigger picture
A well dramatized scene1Jackline nimependa ulivyofikiri... yes inawezakana kuwa hii ishu ni staged ili mkulu amwondoe kwa ushu nyingine.. lakin si ile ishu ya vyeti ili kukwepa aibu
Yupe wazir aliyeropoka juzi.. ndio awe nextOfcoz, na mwendo ni ndio huu huu.. akitoka Bashite tunamtafuta Kiherehere Mwengine nae atavuliwa Nguo.