Rais anapata wapi mabilioni ya kugawa kama njugu?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Nashangaa sana na inashangaza sana

Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake

Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!

Rais Samia kwa jina lake na pesa yake binafsi amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo yake ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa kuwa (siyo fedha za serikali), bunge halijaidhinisha. Swali la ufahamu hapa, SSH anatoa fedha hizo wapi? Mshahara au posho?

Tulipohoji tumeambiwa sio pesa za umma wala serikali bali ni pesa binafsi za rais Samia!!

Mshahara wa Rais unajulikana wazi!! Huyu anatoa wapi mabilioni ya kugawa kama njugu kama sio pesa za walipakodi wa Tanganyika?
 
Boda boda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!

Tulipohoji tumeambiwa sio pesa za umma wala serikali bali ni pesa binafsi za rais Samia!!

Mshahara wa Rais unajulikana wazi!! Huyu anatoa wapi mabilioni ya kugawa kama njugu kama sio pesa za walipakodi wa Tanganyika?

Nchi nzima kuweka picha kwenye boda boda ndio ifikie bil 60?
 
Nashangaa sana na inashangaza sana

Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake

Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!

Tulipohoji tumeambiwa sio pesa za umma wala serikali bali ni pesa binafsi za rais Samia!!

Mshahara wa Rais unajulikana wazi!! Huyu anatoa wapi mabilioni ya kugawa kama njugu kama sio pesa za walipakodi wa Tanganyika?
Acha uongo jamaa mbona mi sijapata mgao!!?nalipa kodi tu!!?
 
Unategemea nini kwenye nchi ambayo chanzo cha mapato ya serikali ni siri au hakijulikani au hakifuatiliwi; kiasi cha mapato na matumizi vivyo hivyo?

Hata zikichotwa BOT utajua kweli? Tumeshuhudia mara kadhaa Bunge linapitisha bajeti ya mabilioni ya fedha za maendeleo, lakini miradi husika ama haifanyiki au inafanywa kwa kuchelewa au chini ya kiwango.

Katika mazingira kama hayo, unadhani mwanya wa ukwepuzi unakosekana?

Wakati mwingine matajiri wakubwa na wafanyabiashara humwaga pesa serikalini kama hisani wakitarajia nao serikali iwape hisani ya kulindiwa biashara zao.

Mashirika ya nje kama DP World nk nayo wakati mwingine ni kichomi kwa maendeleo ya nchi.

Haya huweza kutoa hongo nono kwa viongozi wakubwa ili ajenda zao za kupata fursa za uwekezaji zipewe kipaumbele, hata kama si kipaumbele au hazihitajiki kwa Watanzania.
 
Nchi nzima kuweka picha kwenye boda boda ndio ifikie bil 60?
Ni picha zimewekwa kwenye b0daboda au bodaboda mpya zenye picha ya Rais zimegawiwa?

Kama hujui, kuna bodaboda zimegawiwa Kila Kijiji (mjini sijajua maana siko mjini), zenye sura ya Rais. Yaani mtu anapewa pikipiki mpya kabisa iliyowekwa picha ya Rais.

Kama hujaelewa ni ama sijui kujieleza au una kichwa kinachoelewa taratibu.
 
Ni picha zimewekwa kwenye b0daboda au bodaboda mpya zenye picha ya Rais zimegawiwa?

Kama hujui, kuna bodaboda zimegawiwa Kila Kijiji (mjini sijajua maana siko mjini), zenye sura ya Rais. Yaani mtu anapewa pikipiki mpya kanisa iliyowekwa picha ya Rais.

Kama hujaelewa ni ama sijui kujieleza au una kichwa kinachoelewa taratibu.

Unajiita Kubwa Zuzu, sasa huoni kabisa Zuzu hauna kitu, maana ya Uzuzu ni kichwa kibuyu, kihiyo, kichwa nazi, tabolarasa, una ushahidi hizo bodaboda zimegawiwa nchi nzima na Mh. Rais?
 
Nashangaa sana na inashangaza sana

Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake

Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!

Tulipohoji tumeambiwa sio pesa za umma wala serikali bali ni pesa binafsi za rais Samia!!

Mshahara wa Rais unajulikana wazi!! Huyu anatoa wapi mabilioni ya kugawa kama njugu kama sio pesa za walipakodi wa Tanganyika?
Wewe huna kazi umetembea nchi nzima mtaa hadi mtaa kuhesabu idadi ya pikipiki zenye picha ya Samia ?! Wewe hela za kuzunguka nchi nzima kuhesabu pikipiki umetoa wapi kama hutumiki na maadui wa taifa?!
 
hili amehoji sana Tundu Lissu akiwa ziarani mkoani Singida kwenye mikitano ya chama chake na wananchi. Kampeni hazijaanza lakini hii ni kama pre campeign kutaka aungwe mkono na wapiga kura wake huko mbeleni uchaguzi mkuu utakapofika. Na pia ni kama aina fulani ya rushwa, ni rushwa kubwa hii isiyochunguzika
 
Unajiita Kubwa Zuzu, sasa huoni kabisa Zuzu hauna kitu, maana ya Uzuzu ni kichwa kibuyu, kihiyo, kichwa nazi, tabolarasa, una ushahidi hizo bodaboda zimegawiwa nchi nzima na Mh. Rais?
Sitegemei buku 7 kama wewe punda wa kafara unayeishi kwa uchawa tu endelea kujilegeza kwa wakubwa utashikishwa ukuta soon
 
Kuna majinga yanabisha hii habari wanafikiri huwa tunatunga

Rais Samia kwa jina lake na pesa yake binafsi amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo yake ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa kuwa (siyo fedha za serikali), bunge halijaidhinisha. Swali la ufahamu hapa, SSH anatoa fedha hizo wapi? Mshahara au posho?
20240610_115328.jpg
20240610_115311.jpg
 
hili amehoji sana Tundu Lissu akiwa ziarani mkoani Singida kwenye mikitano ya chama chake na wananchi. Kampeni hazijaanza lakini hii ni kama pre campeign kutaka aungwe mkono na wapiga kura wake huko mbeleni uchaguzi mkuu utakapofika. Na pia ni kama aina fulani ya rushwa, ni rushwa kubwa hii isiyochunguzika
Tuna rais wa hovyo sana
 
Wewe huna kazi umetembea nchi nzima mtaa hadi mtaa kuhesabu idadi ya pikipiki zenye picha ya Samia ?! Wewe hela za kuzunguka nchi nzima kuhesabu pikipiki umetoa wapi kama hutumiki na maadui wa taifa?!
Wewe unavyotumika na waarab na huyo mama enu mbona husemi?
 
Nchi nzima kuweka picha kwenye boda boda ndio ifikie bil 60?
Wewe huna akili kabisa

Rais Samia kwa jina lake na pesa yake binafsi amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo yake ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa kuwa (siyo fedha za serikali), bunge halijaidhinisha. Swali la ufahamu hapa, SSH anatoa fedha hizo wapi? Mshahara au posho?
 
Mkuu pikipik moja bei gani na kagawa ngapi?

Back
Top Bottom