Rais anapata wapi mabilioni ya kugawa kama njugu?

Rais anapata wapi mabilioni ya kugawa kama njugu?

Wewe huna akili kabisa

Rais Samia kwa jina lake na pesa yake binafsi amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo yake ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa kuwa (siyo fedha za serikali), bunge halijaidhinisha. Swali la ufahamu hapa, SSH anatoa fedha hizo wapi? Mshahara au posho?

Wewe mwenye akili nyingi sana utathibitisha iko siku sio nyingi..!!
 
Nashangaa sana na inashangaza sana

Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake

Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!

Rais Samia kwa jina lake na pesa yake binafsi amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo yake ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa kuwa (siyo fedha za serikali), bunge halijaidhinisha. Swali la ufahamu hapa, SSH anatoa fedha hizo wapi? Mshahara au posho?

Tulipohoji tumeambiwa sio pesa za umma wala serikali bali ni pesa binafsi za rais Samia!!

Mshahara wa Rais unajulikana wazi!! Huyu anatoa wapi mabilioni ya kugawa kama njugu kama sio pesa za walipakodi wa Tanganyika?
Kwani hujui kuwa ana mradi mkubwa wa kuiuza Tanganyika kwa waarabu?
 
Back
Top Bottom