Rais anapata wapi mabilioni ya kugawa kama njugu?

Rais anapata wapi mabilioni ya kugawa kama njugu?

Unategemea nini kwenye nchi ambayo chanzo cha mapato ya serikali ni siri au hakijulikani au hakifuatiliwi; kiasi cha mapato na matumizi vivyo hivyo?

Hata zikichotwa BOT utajua kweli? Tumeshuhudia mara kadhaa Bunge linapitisha bajeti ya mabilioni ya fedha za maendeleo, lakini miradi husika ama haifanyiki au inafanywa kwa kuchelewa au chini ya kiwango.

Katika mazingira kama hayo, unadhani mwanya wa ukwepuzi unakosekana?

Wakati mwingine matajiri wakubwa na wafanyabiashara humwaga pesa serikalini kama hisani wakitarajia nao serikali iwape hisani ya kulindiwa biashara zao.

Mashirika ya nje kama DP World nk nayo wakati mwingine ni kichomi kwa maendeleo ya nchi.

Haya huweza kutoa hongo nono kwa viongozi wakubwa ili agenda zao za kupata fursa za uwekezaji zipewe kipaumbele.
Tuna rais wa ajabu sana
 
Kuna majinga yanabisha hii habari wanafikiri huwa tunatunga

Rais Samia kwa jina lake na pesa yake binafsi amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo yake ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa kuwa (siyo fedha za serikali), bunge halijaidhinisha. Swali la ufahamu hapa, SSH anatoa fedha hizo wapi? Mshahara au posho?View attachment 3013589View attachment 3013590
Pikipiki za mkoa mmoja ndio mnalazimisha ziwe za mikoa yote Tz 😂 em tofauti na hizo tuonyesheni na picha za mikoa mingine ili zitimie hizo pikipiki 18k
 
Unajiita Kubwa Zuzu, sasa huoni kabisa Zuzu hauna kitu, maana ya Uzuzu ni kichwa kibuyu, kihiyo, kichwa nazi, tabolarasa, una ushahidi hizo bodaboda zimegawiwa nchi nzima na Mh. Rais?
Umeona wapi nimeandika Rais kagawa. Mimi ambazo nimeziona Zina picha ya Rais Samia. Tena mmoja kapewa wiki iliyopita tu. Kuhusu nchi nzima sijui ndiyo maana hata kwa mijini nimeandika sijui kama zimegawiwa.

Mimi nimeona kwa vijijini pekee tena mkoa nilipo zimegawiwa Kila wilaya. Umeelewa zuzu mwenzangu.
 
Nashangaa sana na inashangaza sana

Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake

Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!

Rais Samia kwa jina lake na pesa yake binafsi amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo yake ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa kuwa (siyo fedha za serikali), bunge halijaidhinisha. Swali la ufahamu hapa, SSH anatoa fedha hizo wapi? Mshahara au posho?

Tulipohoji tumeambiwa sio pesa za umma wala serikali bali ni pesa binafsi za rais Samia!!

Mshahara wa Rais unajulikana wazi!! Huyu anatoa wapi mabilioni ya kugawa kama njugu kama sio pesa za walipakodi wa Tanganyika?
Ni kodi za watanganyika!
 
Si makusanyo ya kila mwezi yapo?
 
unazidi kuniacha
namuona akitokea sana kwenye tuhuma
sasa chuga na abdul wapi na wapi
Dahhhh....😶
Pole sana mkuu, ebu pitia pitia nyuzi humu ndani utang'amua jina la hiyo hotel na mzabuni pekee alie idhinishwa kuinunua mazee..😊
 
Nashangaa sana na inashangaza sana

Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake

Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!

Rais Samia kwa jina lake na pesa yake binafsi amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo yake ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa kuwa (siyo fedha za serikali), bunge halijaidhinisha. Swali la ufahamu hapa, SSH anatoa fedha hizo wapi? Mshahara au posho?

Tulipohoji tumeambiwa sio pesa za umma wala serikali bali ni pesa binafsi za rais Samia!!

Mshahara wa Rais unajulikana wazi!! Huyu anatoa wapi mabilioni ya kugawa kama njugu kama sio pesa za walipakodi wa Tanganyika?
Sheikh, wewe kwa sasa subiria tu kuuzwa kwa Waarabu kama mtumwa. Maana ndicho kitu pekee kilichobakia. Kama ni nchi tayari imeshauzwa! Bado wananchi tu kuuzwa ili malengo yao yatimie.
 
Hata ile nyolo tuwer tuliambiwa kuwa mapesa hayo yametolewa na ntu flani.

Na huyo ntu hakuwahi kutajwa mpaka sasa.
 
Kwhy ni kwaajili ya matumizi ya kata au anapewa kijana bure inakuwa yake?
Nadhani itakuwa wanakopeshwa kwa makubaliano fulani ya kibiashara.

Ndiyo kusema Ikulu pamekuwa pahali pa biashara kama kawaida? Muda wenyewe utaongea.
 
Umeona wapi nimeandika Rais kagawa. Mimi ambazo nimeziona Zina picha ya Rais Samia. Tena mmoja kapewa wiki iliyopita tu. Kuhusu nchi nzima sijui ndiyo maana hata kwa mijini nimeandika sijui kama zimegawiwa.

Mimi nimeona kwa vijijini pekee tena mkoa nilipo zimegawiwa Kila wilaya. Umeelewa zuzu mwenzangu.

Ukome, picha sio bodaboda, bado hujajua wewe ni zuzu, boda kuwa na picha ni tofauti na kugawiwa boda, boda ngapi zina picha ya Rais wetu, bajaj ngapi, magari mangapi hadi ngalawa na vivuko na majengo mbalimbali zina picha ya Mh. Rais, hadi profile yangu hapa ina picha ya Mh. Rais wetu, sasa yote kagawa yeye? Hata majengo yapo kabla Mh. Rais Samia hawaja Rais yana picha yake, na hayo kagawa?

Zuzu acha uzuzu, wildebeest..!!
 
Back
Top Bottom