Nashangaa sana na inashangaza sana
Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake
Boda boda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!
Tulipohoji tumeambiwa sio pesa za umma wala serikali bali ni pesa binafsi za rais Samia!!
Mshahara wa Rais unajulikana wazi!! Huyu anatoa wapi mabilioni ya kugawa kama njugu kama sio pesa za walipakodi wa Tanganyika?
Ndio hivyoIla mama abuduli amekua na ukwasi wa kutisha kwa muda mfupi sana...😎
Acha uongo jamaa mbona mi sijapata mgao!!?nalipa kodi tu!!?Nashangaa sana na inashangaza sana
Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake
Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!
Tulipohoji tumeambiwa sio pesa za umma wala serikali bali ni pesa binafsi za rais Samia!!
Mshahara wa Rais unajulikana wazi!! Huyu anatoa wapi mabilioni ya kugawa kama njugu kama sio pesa za walipakodi wa Tanganyika?
Ni picha zimewekwa kwenye b0daboda au bodaboda mpya zenye picha ya Rais zimegawiwa?Nchi nzima kuweka picha kwenye boda boda ndio ifikie bil 60?
Ni picha zimewekwa kwenye b0daboda au bodaboda mpya zenye picha ya Rais zimegawiwa?
Kama hujui, kuna bodaboda zimegawiwa Kila Kijiji (mjini sijajua maana siko mjini), zenye sura ya Rais. Yaani mtu anapewa pikipiki mpya kanisa iliyowekwa picha ya Rais.
Kama hujaelewa ni ama sijui kujieleza au una kichwa kinachoelewa taratibu.
Wewe huna kazi umetembea nchi nzima mtaa hadi mtaa kuhesabu idadi ya pikipiki zenye picha ya Samia ?! Wewe hela za kuzunguka nchi nzima kuhesabu pikipiki umetoa wapi kama hutumiki na maadui wa taifa?!Nashangaa sana na inashangaza sana
Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake
Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!
Tulipohoji tumeambiwa sio pesa za umma wala serikali bali ni pesa binafsi za rais Samia!!
Mshahara wa Rais unajulikana wazi!! Huyu anatoa wapi mabilioni ya kugawa kama njugu kama sio pesa za walipakodi wa Tanganyika?
hili amehoji sana Tundu Lissu akiwa ziarani mkoani Singida kwenye mikitano ya chama chake na wananchi. Kampeni hazijaanza lakini hii ni kama pre campeign kutaka aungwe mkono na wapiga kura wake huko mbeleni uchaguzi mkuu utakapofika. Na pia ni kama aina fulani ya rushwa, ni rushwa kubwa hii isiyochunguzikaNashangaa sana na inashangaza sana
Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake
Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!
Tulipohoji tumeambiwa sio pesa za umma wala serikali bali ni pesa binafsi za rais Samia!!
Mshahara wa Rais unajulikana wazi!! Huyu anatoa wapi mabilioni ya kugawa kama njugu kama sio pesa za walipakodi wa Tanganyika?
Sitegemei buku 7 kama wewe punda wa kafara unayeishi kwa uchawa tu endelea kujilegeza kwa wakubwa utashikishwa ukuta soonUnajiita Kubwa Zuzu, sasa huoni kabisa Zuzu hauna kitu, maana ya Uzuzu ni kichwa kibuyu, kihiyo, kichwa nazi, tabolarasa, una ushahidi hizo bodaboda zimegawiwa nchi nzima na Mh. Rais?
Tuna rais wa hovyo sanahili amehoji sana Tundu Lissu akiwa ziarani mkoani Singida kwenye mikitano ya chama chake na wananchi. Kampeni hazijaanza lakini hii ni kama pre campeign kutaka aungwe mkono na wapiga kura wake huko mbeleni uchaguzi mkuu utakapofika. Na pia ni kama aina fulani ya rushwa, ni rushwa kubwa hii isiyochunguzika
Wewe unavyotumika na waarab na huyo mama enu mbona husemi?Wewe huna kazi umetembea nchi nzima mtaa hadi mtaa kuhesabu idadi ya pikipiki zenye picha ya Samia ?! Wewe hela za kuzunguka nchi nzima kuhesabu pikipiki umetoa wapi kama hutumiki na maadui wa taifa?!
Wewe huna akili kabisaNchi nzima kuweka picha kwenye boda boda ndio ifikie bil 60?
Rais Samia kwa jina lake na pesa yake binafsi amegawa pikipiki 18,200 zenye nembo yake ambazo thamani yake ni TZS 54 bilioni. Kwa kuwa (siyo fedha za serikali), bunge halijaidhinisha. Swali la ufahamu hapa, SSH anatoa fedha hizo wapi? Mshahara au posho?Mkuu pikipik moja bei gani na kagawa ngapi?
Sasa kama una uwezo wa kukopa 30 Trillions ndani ya miaka 3 wewe unakosaje hata Trillion 2 kwenye account zako binafsi.Ila mama abuduli amekua na ukwasi wa kutisha kwa muda mfupi sana...😎