Rais anapata wapi mabilioni ya kugawa kama njugu?

Tuna rais wa ajabu sana
 
Pikipiki za mkoa mmoja ndio mnalazimisha ziwe za mikoa yote Tz 😂 em tofauti na hizo tuonyesheni na picha za mikoa mingine ili zitimie hizo pikipiki 18k
 
Unajiita Kubwa Zuzu, sasa huoni kabisa Zuzu hauna kitu, maana ya Uzuzu ni kichwa kibuyu, kihiyo, kichwa nazi, tabolarasa, una ushahidi hizo bodaboda zimegawiwa nchi nzima na Mh. Rais?
Umeona wapi nimeandika Rais kagawa. Mimi ambazo nimeziona Zina picha ya Rais Samia. Tena mmoja kapewa wiki iliyopita tu. Kuhusu nchi nzima sijui ndiyo maana hata kwa mijini nimeandika sijui kama zimegawiwa.

Mimi nimeona kwa vijijini pekee tena mkoa nilipo zimegawiwa Kila wilaya. Umeelewa zuzu mwenzangu.
 
Ni kodi za watanganyika!
 

Si makusanyo ya kila mwezi yapo?
 
Rais utakosaje hela 😄

Ova
 
unazidi kuniacha
namuona akitokea sana kwenye tuhuma
sasa chuga na abdul wapi na wapi
Dahhhh....😶
Pole sana mkuu, ebu pitia pitia nyuzi humu ndani utang'amua jina la hiyo hotel na mzabuni pekee alie idhinishwa kuinunua mazee..😊
 
Sheikh, wewe kwa sasa subiria tu kuuzwa kwa Waarabu kama mtumwa. Maana ndicho kitu pekee kilichobakia. Kama ni nchi tayari imeshauzwa! Bado wananchi tu kuuzwa ili malengo yao yatimie.
 
Hata ile nyolo tuwer tuliambiwa kuwa mapesa hayo yametolewa na ntu flani.

Na huyo ntu hakuwahi kutajwa mpaka sasa.
 
Kwhy ni kwaajili ya matumizi ya kata au anapewa kijana bure inakuwa yake?
Nadhani itakuwa wanakopeshwa kwa makubaliano fulani ya kibiashara.

Ndiyo kusema Ikulu pamekuwa pahali pa biashara kama kawaida? Muda wenyewe utaongea.
 


Ukome, picha sio bodaboda, bado hujajua wewe ni zuzu, boda kuwa na picha ni tofauti na kugawiwa boda, boda ngapi zina picha ya Rais wetu, bajaj ngapi, magari mangapi hadi ngalawa na vivuko na majengo mbalimbali zina picha ya Mh. Rais, hadi profile yangu hapa ina picha ya Mh. Rais wetu, sasa yote kagawa yeye? Hata majengo yapo kabla Mh. Rais Samia hawaja Rais yana picha yake, na hayo kagawa?

Zuzu acha uzuzu, wildebeest..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…