Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

Anauwezo huo kama head of state na sio kama head of government, hayo ni mamlaka yake ya kikatiba.
Under which Article of URT Constitution? Being a Head of State hakumfanyi kuisigina Katiba. He is not above the Constitution. Endeleeni ku support kila ujinga hadi siku atakapowa amputate since he is a Head of State.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo pa kulivunja Bunge soma vizuri katiba imefafanua mambo gani yakitokea atavunja Bunge na pia, utambue Kwa mujibu wa katiba yetu Rais alivunja Bunge anakuwa amejitumbua mwenyewe kwakuwa anakoma kuwa Rais na uchaguzi unaitishwa
 
Mawazo mgando KABISA


WEWE unadhani Bunge linakusanya kodi???

Hao chadema wasiokuwa na mwelekeo ndo wakalipwe posho ya vikao wakiwa nyumbani.


Huo UJINGER UNAOUWAZA HAUPO KATIKA TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Akishauri Ni Amri Bwana Mwenyekiti Huelewi 😄😅😃🤣😀😁😂
 
Nahofia hii corona haina macho,
Isije kurukia chato kule kwenye lile ksri la mzee ika muumbua?
 
Ni mkuu wa nchi kwani mbowe anapata wapi mamlaka ya kuzuia wabunge wasiende kwenye vikao vya bunge.unalupwaje mshahara Kama hufanyi kazi.you guys don't politicise.if you don't work never it.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye "red" unamaanisha nini Mkuu?
 
Ebo! Kumbe ulitegemea walipwe kwa kujiweka karantine na makahaba hotelini dodoma! Nina uhakika hata mh. Spika angefanya hivyo hata bila kushauriwa na rais! Kama hii kwako ni chungu pole lakini ndio ukwwli!
Rais hakupaswa kutamka kauli ile, hapo ndipo utata wa uwepo wa mihimili mitatu unapoanzia. Magufuli amedhihirisha kuwa yeye ni mtawala wa MABAVU. Period.
 
Hivi ulielewa aliposema huu muhimili umejichimbia chini zaidi?😂😂😂
 
Siyo mbowe wewe huogopi ugonjwa hebu tuache siasakwenye ugonjwa kwani afya haina cha posho hainunuliwi
 
labda mnisaidie wadau posho mbunge anaipata pale anapouzuria kikao sasa km hakuuzuria kikao hiyo posho anapata wapi labda kama mshahara ndio auzurie au asiuzurie ndio anapata

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja hapa ni uhalali wa hilo AGIZO la Rais. Ni kweli tuna Mihimili mitatu inayojitegemea au ni danganya toto tu?
 
This is nonsense..
Inajulikana Wabunge hulipwa posho pale tu wanapohudhuria vikao..
Na huyu kichaa wenu amekuwa mbunge kwa miaka 20..ile kusema amemuagiza Ndugai asiwalipe Wabunge wa CDM ilikuwa ni kuwafurahisha mapunga kama wewe..but it's completely NONSENSE and IRRELEVANT.
 
Hoja hapa ni uhalali wa hilo AGIZO la Rais. Ni kweli tuna Mihimili mitatu inayojitegemea au ni danganya toto tu? Ikiwa Bunge na Mahakama vimewekwa MFUKONI na Rais, vipi kuhusu ile Tume yake ya Uchaguzi?
 
Spika Bosi wake ni Mkuu wa CCM, ambaye ni Raisi wa JMTZ, na fedha yote ya Serikali ya JMTZ msimamizi wake ni Raisi wa JMTZ, Bunge linapewa fedha za walipa kodi wa JMTZ na msimamizi wa Kodi zetu ni Raisi wa JMTZ, ...
Hoja hapa ni uhalali wa hilo AGIZO la Rais. Ni kweli tuna Mihimili mitatu inayojitegemea au ni danganya toto tu? Ikiwa Bunge na Mahakama vimewekwa MFUKONI na Rais, vipi kuhusu ile Tume yake ya Uchaguzi?
 


Hakuna kitu kama ,,Mahakama huru“ Dunia hii, hata hizo unazoziona ziko huru haziko huru kama unavyofikiria, ni swala la tafsiri tu, nini maana ya ,,kuwa huru“ !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…