Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Jiwe anajiona ana akili kuliko watu wote duniani! Kila kitu yeye anajua tu, Tz tuna rais wa ajabu sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais ndio mwenye hazinaMy take: Tuna utawala wa Mkono wa Chuma, tusitarajie Uchaguzi Huru hapo Oktoba mwaka huu.
Rais amejiaibisha sana kwa kuonesha ubabe wake hadharani.Inajulikana kabisa posho inalipwa tokana na vikao ulivyoattend. Sasa kama hawajaatend hawalipwi linajulikana kabisa halihitaji Rais kulizungumzia ilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hizo pesa Rais anazitoa mfukoni kwake?!We acha kujidanganya
Rais is on top kwa kila kitu
Kwani bunge wanatoa wapi hela? Wanauza maandazi?
Mwenye hela na jeshi ndio kila kitu
Wewe sema tu mhimili mitatu
Kaishi USA
Kumbe..basi sawa mkuuKumbuka kuna posho za mafuta unapata kila mwezi na vinginevyo
Linaingiliwa maeneo gani?Bunge sio mhimili huru, unaingiliwa Sana na mhimili wenye mizizi mirefu Hadi inatia aibu
Kwa hilo hapana Yuko sahihi unalipwaje posho wakati haupo kazini?Hivi tafsiri ya posho ni nn?Kama huko kwenye kikao au vikao unalipwaje allowances.Tuache ushabiki hebu tuwe empirical ni Sasa kulipwa posho wakati huko kwenye vikao vya bunge.Something is not correct with Cdm.Rethink.Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".
My take: Tuna utawala wa Mkono wa Chuma, tusitarajie Uchaguzi Huru hapo Oktoba mwaka huu.
Tumia akili yako,mbunge asipohudhuria kikao hata kama ni kimoja posho ya siku hiyo hapati!Posho hupewa mbunge pale anapofika bungeni na kusign mahudhurio!Hata Jiwe analijua hilo,maana amekuwa mbunge miaka mingi!Tuliwaasa Chadema
Yule mama wa Uganda ana balls,ndugai ana eggs!Ingependeza kama speaker wa bunge amjibu rais kama alivyofanya speaker wa Uganda juzi kwa rais Museven ili kuonesha nguvu ya bunge kama mhimili unaojitegemea na wenye maamuzi yake so rais auheshimu.
dunia ni kina nani mkuu? ni kweli sisi tunadanganya sana wazungu kwenye check and balance ni executive inaburuza wenzake openly, bongo hatuna uhuru wa kukashifu na kupinga serikali kwenye public, uchaguzi wetu chenga chenga tu, watoto wenye mimba kurudi skuli hatuafiki ila tunasaini na kuchukua mpunga, ushoga hatutakaa tuukubali ila tunasaini kuwa hatuna shida na mashoga!!Kwanini lisifutwe basi tukabakia na hiyo serikali pekee? Kwanini tuidanganye dunia kwamba tuna Bunge huru wakati ukweli ni kinyume chake?
Mkuu, kwa muktadha huo huo, unawezaje kuamini kwamba Mahakama ni huru?Kwa hilo hapana Yuko sahihi unalipwaje posho wakati haupo kazini?Hivi tafsiri ya posho ni nn?Kama huko kwenye kikao au vikao unalipwaje allowances.Tuache ushabiki hebu tuwe empirical ni Sasa kulipwa posho wakati huko kwenye vikao vya bunge.Something is not correct with Cdm.Rethink.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa mada? Unajua kusoma kweli? Mada iliyopo mezani haihusu chadema kutokulipwa posho au la bali inahusu Rais ana mamlaka ya kumuamuru speaker kuzuia wabunge kulipwa posho au la!Tuliwaasa Chadema