Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

Mishahara ,Siku 14 walizojiaisoleti zitakuwa eksikuludedi kwenye malipo yao
Kwani posho ni nin mkuu? Me nazani chadema walijua kabisa kujiisolet watakosa posho na wamekubaliana na hilo, nachojua unalipwa posho baada ya kusaini mahudhilio pindi uingiapo bungeni sio otherwise. Jiwe anatafuta kiki tu za.kishamba kwenye hilii.

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo limeanzia hapo Mkuu, kama serikali inauwezo wa kuliamuru Bunge kufanya inavyotaka basi hilo ni tatizo.
Anauwezo huo kama head of state na sio kama head of government, hayo ni mamlaka yake ya kikatiba.
 
Wabunge wanajiweka karantini halafu wanakuwa wa kwanza kusema kwanini rais asitoke Chato na kwenda Dodoma!!.

Siasa wakati mwingine ni mchezo wa kinafiki sana.
 
dunia ni kina nani mkuu? ni kweli sisi tunadanganya sana wazungu kwenye check and balance ni executive inaburuza wenzake openly, bongo hatuna uhuru wa kukashifu na kupinga serikali kwenye public, uchaguzi wetu chenga chenga tu, watoto wenye mimba kurudi skuli hatuafiki ila tunasaini na kuchukua mpunga, ushoga hatutakaa tuukubali ila tunasaini kuwa hatuna shida na mashoga!!

kitu kizuri wazungu hutudanganya mengi zaidi ya tunayowadanganya sie!!! Mungu akupe nafasi uishi na wazungu uzunguni hutaamini utakayojionea!!! hali ya hewa ni mbaya mno huko miezi mingi, ni miezi mitatu au minne tu ya summer ndio huenjoy ila muvi zao nyingi ni za summer bata kama zote basi kila mtu mweusi ataka akaishi huko hawajui ukienda uzunguni unaishia ndani miezi nane baridi kali!! wazungu omba omba barabarani na mateja kama wote! wazungu ni watu feki mno , asilimia 80 ni vilaza, form six mtu kasoma balaa! kila mtu ni mdeni wa benki, kampuni ya cm, supermaket na manispaa!! wazungu ni wabaguzi wa rangi openly, nao husema mengi tofauti na wanayotenda kwa watu weusi!! mi sioni dhambi kuwazuga mambo yetu labda tujisikie vibaya kudanganya weusi wenzetu si wazungu i talk from experience trust me!!
Umeandika nini wewe boya
 
Na kuna magari yanazunguka na vipasa sauti wakihimiza watu kwenda kuhakiki majina kwenye daftari la wapiga kura. Uchaguzi mkuu October 2020. Magufuli 98.71% James Mbatia 1.05%
Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".

Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana na hayo kwenye Tume yake ya Uchaguzi hapo Oktoba?

My take: Tuna utawala wa Mkono wa Chuma, tusitarajie Uchaguzi Huru hapo Oktoba mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa anatoa yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

Eti nabakia Africa.
 
dunia ni kina nani mkuu? ni kweli sisi tunadanganya sana wazungu kwenye check and balance ni executive inaburuza wenzake openly, bongo hatuna uhuru wa kukashifu na kupinga serikali kwenye public, uchaguzi wetu chenga chenga tu, watoto wenye mimba kurudi skuli hatuafiki ila tunasaini na kuchukua mpunga, ushoga hatutakaa tuukubali ila tunasaini kuwa hatuna shida na mashoga!!

kitu kizuri wazungu hutudanganya mengi zaidi ya tunayowadanganya sie!!! Mungu akupe nafasi uishi na wazungu uzunguni hutaamini utakayojionea!!! hali ya hewa ni mbaya mno huko miezi mingi, ni miezi mitatu au minne tu ya summer ndio huenjoy ila muvi zao nyingi ni za summer bata kama zote basi kila mtu mweusi ataka akaishi huko hawajui ukienda uzunguni unaishia ndani miezi nane baridi kali!! wazungu omba omba barabarani na mateja kama wote! wazungu ni watu feki mno , asilimia 80 ni vilaza, form six mtu kasoma balaa! kila mtu ni mdeni wa benki, kampuni ya cm, supermaket na manispaa!! wazungu ni wabaguzi wa rangi openly, nao husema mengi tofauti na wanayotenda kwa watu weusi!! mi sioni dhambi kuwazuga mambo yetu labda tujisikie vibaya kudanganya weusi wenzetu si wazungu i talk from experience trust me!!
Alafu anatokea mjinga eti bora niende nikaishi Ulaya, wakuu tukomaeni tuiendeleze na tuinue uchumi wa nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anafurahisha baraza huyo mpima corona mapapai. Mbunge asiyeingia bungeni automatically halipwi posho.
 
.
IMG_20200501_072642.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom