Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

Rais ni sehemu ya Bunge, ndiye boss. Ndio maana Job ana mhanya jamaa. Anasema yeye ndiye mlipaji.

Uliona wapi bunge linakusanya kodi..? Sasa wewe mchezee bwana Mapato uone kama utapewa mgao.

Utapata 4% ya bajeti. Ama unajifanya huoni wizara zinavyopigwa panga kwa bajeti iliyopitishwa na bunge na hakuna lolote lile.

Acha kuwaingiza chaka akina Job na timu yake,wasije limia meno.

Sent using iphone pro max
 
Spika Bosi wake ni Mkuu wa CCM, ambaye ni Raisi wa JMTZ, na fedha yote ya Serikali ya JMTZ msimamizi wake ni Raisi wa JMTZ, Bunge linapewa fedha za walipa kodi wa JMTZ na msimamizi wa Kodi zetu ni Raisi wa JMTZ, ...

Naona vijana wavivu kusoma katiba hawaelewi
 
Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".

Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana na hayo kwenye Tume yake ya Uchaguzi hapo Oktoba?

My take: Tuna utawala wa Mkono wa Chuma, tusitarajie Uchaguzi Huru hapo Oktoba mwaka huu.
Pumbavu
 
Kama halikusanyi kodi ndiyo watawala wawe na haki kuliingilia kinyume cha Katiba!!??
Ukiiisoma vizuri katiba utagundua Rais ndio mamlaka ya juu kabisa ya nchi.

Spika na Jaji mkuu wanaweza kukaimu urais lakini kinyume chake hakiwezekani.......huo usawa uko wapi hapo?
 
Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".

Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana na hayo kwenye Tume yake ya Uchaguzi hapo Oktoba?

My take: Tuna utawala wa Mkono wa Chuma, tusitarajie Uchaguzi Huru hapo Oktoba mwaka huu.
MHIMILI CHIMBIFU
 
Ukikua utaacha upumbavu.. corona itakula mtu mwingine wiki pale bungeni
Tuliwaasa Chadema

Wabunge wa Chadema wakichaguliwa na Watanzania wakawawakilishe bungeni

Ila Mbowe kwa ubabe wake bila kushirikiana na Spika amewakataza wabunge wa Chadema wasihudhurie vikao

Kwanza ieleweke Mbowe huwakata wabunge wake zaidi ya milion kwenye mshahara wa mbunge

Leo anawakataza wasichukue hata posho ?

Mbowe ajitathimini akae pembeni akili imefika kikomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingependeza kama speaker wa bunge amjibu rais kama alivyofanya speaker wa Uganda juzi kwa rais Museven ili kuonesha nguvu ya bunge kama mhimili unaojitegemea na wenye maamuzi yake so rais auheshimu.
Spika yupi wa Kumjibu Rais?
Huyu huyu Ndugai?
 
Ukiiisoma vizuri katiba utagundua Rais ndio mamlaka ya juu kabisa ya nchi.

Spika na Jaji mkuu wanaweza kukaimu urais lakini kinyume chake hakiwezekani.......huo usawa uko wapi hapo?
Dah! umeikoroga kabisa tafsiri yako kuhusu Katiba. Jaji Mkuu na Spika wa Bunge wao taasisi zao haziwezi kusimama kwa kutokuwepo kwao na kanuni za undeshwaji wa taasisi hizo zimewekwa kuzuia Ombwe kutokea viongozi wake Wakuu wanapokuwa hawapo.

Lakini Rais anachaguliwa na wananchi na ndiyo maana hata kwenye mpango (Plan) wa kukaimu utaona kwanza ni mpaka pale waliochaguliwa wanapokuwa hawapo ndipo Jaji anaweza kukaimu.

Rais siyo mkubwa kwa hao wenzake bali anaongoza tawi la utawala lenye kuhitaji kuwepo kwa mtu wa kutoa amri muda wote inapohitajika. Mahakama au Bunge halihitaji kuwepo kwa mtu wa kutoa Amri ili tasisi hizo zijiendeshe.
 
Tatizo anapiga vita na adui wengi mmno

Meko vs wananchi
Meko vs bbc
Meko vs waandishi wa habari
Meko vs wizara ya afya
Meko vs mkuu wa mkoa
Meko vs who
Meko vs east africa presidents
Meko vs twitter
Meko vs JF
Meko vs etc
Kwani posho ni nin mkuu? Me nazani chadema walijua kabisa kujiisolet watakosa posho na wamekubaliana na hilo, nachojua unalipwa posho baada ya kusaini mahudhilio pindi uingiapo bungeni sio otherwise. Jiwe anatafuta kiki tu za.kishamba kwenye hilii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha kuwa zoba!!! Mbowe anahaki ya kuwalinda wabunge wake....
Tuliwaasa Chadema

Wabunge wa Chadema wakichaguliwa na Watanzania wakawawakilishe bungeni

Ila Mbowe kwa ubabe wake bila kushirikiana na Spika amewakataza wabunge wa Chadema wasihudhurie vikao

Kwanza ieleweke Mbowe huwakata wabunge wake zaidi ya milion kwenye mshahara wa mbunge

Leo anawakataza wasichukue hata posho ?

Mbowe ajitathimini akae pembeni akili imefika kikomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliwaasa Chadema

Wabunge wa Chadema wakichaguliwa na Watanzania wakawawakilishe bungeni

Ila Mbowe kwa ubabe wake bila kushirikiana na Spika amewakataza wabunge wa Chadema wasihudhurie vikao

Kwanza ieleweke Mbowe huwakata wabunge wake zaidi ya milion kwenye mshahara wa mbunge

Leo anawakataza wasichukue hata posho ?

Mbowe ajitathimini akae pembeni akili imefika kikomo
Pesa na uhai kipi Bora,pesa zinatafutwa uhai unatafutwa?yy mbona kakimbia ofisi ,kwahiyo nae asilipwe mshahara basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom