JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Serikali ndiyo inakusanya kodi. Lakini sheria ndiyo.inaendesha nchi kupitia hiyo.inayoitwa katiba. Usijitoe akili katiba imehalalisha wabunge wakikosa imani na Rais wanaweza kupiga kura kumtoa.Ungejiuliza pia haya maswali
Je wabunge wanalipwa na nani mishahara na hizo posho?
Pia bunge linakusanya kodi?
Je maswali namba moja na mbili yakiunganishwa kwa pamoja unahisi kwa akili ya kawaida boss wao ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hakuna aliye juu ya mwenzake.kikatiba. kinnyume na hapo ni udikteta.