Rais anayetawala kwa kutegemea alivyoamka ni hatari sana kwa Taifa

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,225
Reaction score
9,830
Ile kauli ya Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(rip) kuwa tunataka Rais atakaye HESHIMU Katiba ya nchi na kwamba hatuwezi kuwa na Rais anayelala na mkewe usiku na halafu kesho yake asubuhi anatoa tamko.

Leo imejidhihirisha kwa Rais Magufuli aliposema kuwa kumbe: MAAMUZI YAKE YA UTEUZI NA MUSTAKALI WA TAIFA LETU HUTEGEMEA AMEAMKAJE SIKU HIYO!

Hii Ina maana kwamba teuzi zote, maamuzi yote, mabadiliko ya Sheria za nji na hasa kuwabana wapinzani HUTEGEMEA RAIS AMEAMKAJE!

Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu Tanzania.
 
.
54321.jpg
 
Kawe Alumni,

Katiba inanipa Uhuru wa kumchagua Rais, Mbunge na Diwani! Sasa sijui ni Urais upi mnaoongelea nisio ujua!
Hiyo ni hoja yenye kihoja!
 
Kumbukumbu zangu zote zinaniambia Wapinzani na hata Ccm waliovunja sheria wana jalada mahakamani hakuna aliyechukuliwa sheria mkononi

Hope unafanya vizuri queen SE

Niambie pia kadi yako ya Ccm utaitoa lini kwenye sanduku lako
Wanaovunja sheria wanapelekwa mahakamani.
 
Ile kauli ya Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(rip) kuwa tunataka Rais atakaye HESHIMU Katiba ya nchi na kwamba hatuwezi kuwa na Rais anayelala na mkewe usiku na halafu kesho yake asubuhi anatoa tamko.

Leo imejidhihirisha kwa Rais Magufuli aliposema kuwa kumbe: MAAMUZI YAKE YA UTEUZI NA MUSTAKALI WA TAIFA LETU HUTEGEMEA AMEAMKAJE SIKU HIYO!

Hii Ina maana kwamba teuzi zote, maamuzi yote, mabadiliko ya Sheria za nji na hasa kuwabana wapinzani HUTEGEMEA RAIS AMEAMKAJE!

Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu Tanzania.

Ushaanza kufukunyua..😇
 
Back
Top Bottom