Rais anayetawala kwa kutegemea alivyoamka ni hatari sana kwa Taifa

Ile kauli ya Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(rip) kuwa tunataka Rais atakaye HESHIMU Katiba ya nchi na kwamba hatuwezi kuwa na Rais anayelala na mkewe usiku na halafu kesho yake asubuhi anatoa tamko.

Leo imejidhihirisha kwa Rais Magufuli aliposema kuwa kumbe: MAAMUZI YAKE YA UTEUZI NA MUSTAKALI WA TAIFA LETU HUTEGEMEA AMEAMKAJE SIKU HIYO!

Hii Ina maana kwamba teuzi zote, maamuzi yote, mabadiliko ya Sheria za nji na hasa kuwabana wapinzani HUTEGEMEA RAIS AMEAMKAJE!

Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu Tanzania.
Unapotosha mkuu Rais ni taasisi kwaio kabla ya teuzi huwa Kuna tathimini inafanyika kujilizisha na wale wateuliwa kwaio kwa maneno yako hapo ni upotoshaji na unapaswa kupuuzwa
 
Alitaka kuwaletea habari za mood zake za ameamkaje wakina Ramaphosa/Sadc na EAC wkt ule wa mikutano ya mambo ya Corona wakaona huyu jamaa hatujui vzr,sisi tuendelee na mambo yetu hayo mambo ya mood za ameamkaje atapambana na wananchi wake huko.
 
Wewe ndiye Unataka kupotosha!
Rais Ni TAASISI KAMA ANAFUATA KATIBA NA SHERIA ZA NJI.
Rais huyu Mara nyingi amejitanabaisha kuwa "Yeye huwa hapangiwi" na ukitaka kumpa ushauri ndiyo unapoteza!
Kwenye Uteuzi kuna kitu kinaitwa VETTING na hiyo haifanywi na mtu Mmoja kama anavofanya Magufuli na matokeo yake ndo haya kila siku ni KUMTUMBUA NA KUTEUA!! Mifano iko kibao mfano wazi ni KANGI LUGOLA kuteuliwa kuwa Minister for Internal Affairs ilhali Kangi alikuwa na Tuhuma za Rushwa na alikuwa na kesi Mahakamani....!!Can you comment on that please?
 
Juha ni wewe unaekariri ujinga. Ibara inasema shall not be obliged to take advice from any person. Sasa ndio kwa akili yako za kipuuzi ndio umegeneralize kuwa maamuzi yoyote? Huna akili rais ana mamlaka ya uteuzi na hili halihitaji ushauri wako wewe mvuta bangi na mnywa konyagi.

Endelea kutetetea upumbaf wako!Kinacho onekana hapa ni akili
yako kugota na ndiyo mwisho wa uwezo wako kufikiri....!!
Naona lugha ya Kimombo inakupa shida !!!Ushauri wa bure: Tafuta Wataalamu wa Katiba na Sheria wanaojua Lugha ya Malkia watakupa ufafanuzi!
 
Alitaka kuwaletea habari za mood zake za ameamkaje wakina Ramaphosa/Sadc na EAC wkt ule wa mikutano ya mambo ya Corona wakaona huyu jamaa hatujui vzr,sisi tuendelee na mambo yetu hayo mambo ya mood za ameamkaje atapambana na wananchi wake huko.

Vipi kwenye familia yenu nani alipata Corona?
 
Wewe ndiye Unataka kupotosha!
Rais Ni TAASISI KAMA ANAFUATA KATIBA NA SHERIA ZA NJI.
Rais huyu Mara nyingi amejitanabaisha kuwa "Yeye huwa hapangiwi" na ukitaka kumpa ushauri ndiyo unapoteza!
Kwenye Uteuzi kuna kitu kinaitwa VETTING na hiyo haifanywi na mtu Mmoja kama anavofanya Magufuli na matokeo yake ndo haya kila siku ni KUMTUMBUA NA KUTEUA!! Mifano iko kibao mfano wazi ni KANGI LUGOLA kuteuliwa kuwa Minister for Internal Affairs ilhali Kangi alikuwa na Tuhuma za Rushwa na alikuwa na kesi Mahakamani....!!Can you comment on that please?
Kwenye Jambo lolote Kuna error mkuu lakini uzuri tumepata Rais ambae hacheki na mtu yeyote ambae anataka kuitia hasara nchi yetu tumpe nafasi atuongoze Tena kwa ajili ya ustawi wa taifa letu chuki tuziache utanzania Kwanza. Viva MAGUFULI 2020-2025
 
Ile kauli ya Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(rip) kuwa tunataka Rais atakaye HESHIMU Katiba ya nchi na kwamba hatuwezi kuwa na Rais anayelala na mkewe usiku na halafu kesho yake asubuhi anatoa tamko.

Leo imejidhihirisha kwa Rais Magufuli aliposema kuwa kumbe: MAAMUZI YAKE YA UTEUZI NA MUSTAKALI WA TAIFA LETU HUTEGEMEA AMEAMKAJE SIKU HIYO!

Hii Ina maana kwamba teuzi zote, maamuzi yote, mabadiliko ya Sheria za nji na hasa kuwabana wapinzani HUTEGEMEA RAIS AMEAMKAJE!

Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu Tanzania.
Madudu aliyoyafanya kwenye korosho,
Sasa nimeamini,anaenda ilimradi tu,
Na ishu ya dawa ya corona kutoka madagascar,sijuhi imeishia wapi?
 
huwa mnapata tabu sana kumuelewa Magufuli mnaishia kupotosha tu.
 
Back
Top Bottom