Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Wala si kutuma vyombo vya dola kuwaumiza wapinzani wakoAnadhani Urais ni kubwia konyagi huyu
Wala si kutuma vyombo vya dola kuwaumiza wapinzani wako
Wanaovunja sheria wanapelekwa mahakamani.Watu wasivunje sheria kwa kusingizia Wao ni upinzani, sheria haibagui! queen SE
sheria gani kwanza mbona mimi sioni kama wapinzani wanavunja sheriaWanaovunja sheria wanapelekwa mahakamani.
Wanaovunja sheria wanapelekwa mahakamani.
sheria gani kwanza mbona mimi sioni kama wapinzani wanavunja sheria
Huku mtaani tuna msemo wetu pendwa unaosema "Kichaa kapewa rungu" NB: Narudia tena! NI MSEMO TU! Sijamuita mtu 'kichaa'hatimaye rais aliyetabiriwa na mwl. nyerere tumemuona
hapo aliposema ameamkaje nimemkumbuka baba wa taifa mwl. nyerere mungu amlaze maali pema peponiSheria zinazovunjwa na Wapinzani ni SHERIA ZA MAGUFULI zinazotegemea AMEAMKAJE SIKU HIYO.....!!!
MUNGU mbariki magufuli
Ile kauli ya Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(rip) kuwa tunataka Rais atakaye HESHIMU Katiba ya nchi na kwamba hatuwezi kuwa na Rais anayelala na mkewe usiku na halafu kesho yake asubuhi anatoa tamko.
Leo imejidhihirisha kwa Rais Magufuli aliposema kuwa kumbe: MAAMUZI YAKE YA UTEUZI NA MUSTAKALI WA TAIFA LETU HUTEGEMEA AMEAMKAJE SIKU HIYO!
Hii Ina maana kwamba teuzi zote, maamuzi yote, mabadiliko ya Sheria za nji na hasa kuwabana wapinzani HUTEGEMEA RAIS AMEAMKAJE!
Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu Tanzania.