Rais anayetawala kwa kutegemea alivyoamka ni hatari sana kwa Taifa

ku
Na wapinzani majimbo mtakayoshinda yatategemea vip Rais ameamka siku ya uchaguzizo
na chama kinaandaliwa kuwa mbadala wa cdm yule kijana ameamua kufuata nyayo za mzee wake aliharibu vyama vzr lakini huyu kijana sijui kama atafanikiwa
 
Ndio maana jamaa linapangua na kuteua na hakuna ufanisi wowote kwa serikali yake coz ya hayo maududu
 
Acha kupotosha umma. Soma ibara ya 37(1) utapata majibu ya huu upuuzi wako.
Rais wa JMT pamoja na kuzingatia matakwa ya katiba ya JMT na sheria za nchi yupo huru kufanya maamuzi bila kupata ushauri wa mtu yoyote anapofanya shughuli zake. Wewe ni nani unataka kumpangia shughuli mkuu wa nchi? Kutengua na kuteua ni mamlaka yake huwezi kumpangia.
Nani kakudanganya masuala ya mabadiliko na utungaji wa sheria huwa wataalamu na wadau hawausishwi?
 
Mungu amlaani Magufuli....! Tutaona Mungu anasikiliza maombi ya nani...
Mungu hafikiri kama bavicha mfikirivyo!

Ndio maana utakuta Mbowe pamoja na ulevi wake lakini kamwe Mungu hawezi kuacha kumbariki.
 
Kumbukumbu zangu zote zinaniambia Wapinzani na hata Ccm waliovunja sheria wana jalada mahakamani hakuna aliyechukuliwa sheria mkononi

Hope unafanya vizuri queen SE

Niambie pia kadi yako ya Ccm utaitoa lini kwenye sanduku lako
kadi ya chadema anayomiliki dr slaa ashairudisha
 

Kaishasema, kwa hiyo??
 
Nimesikia hayo maneno kutoka kinywani kwake sikuamini kabisa, kweli tunahitaji kubadilisha uongozi haraka sana.
 
ku

na chama kinaandaliwa kuwa mbadala wa cdm yule kijana ameamua kufuata nyayo za mzee wake aliharibu vyama vzr lakini huyu kijana sijui kama atafanikiwa
Ila kile kinachoongozwa na shemeji yake Mr zero kitaangukia pua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…