goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 806
- 890
Unapotosha mkuu Rais ni taasisi kwaio kabla ya teuzi huwa Kuna tathimini inafanyika kujilizisha na wale wateuliwa kwaio kwa maneno yako hapo ni upotoshaji na unapaswa kupuuzwaIle kauli ya Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(rip) kuwa tunataka Rais atakaye HESHIMU Katiba ya nchi na kwamba hatuwezi kuwa na Rais anayelala na mkewe usiku na halafu kesho yake asubuhi anatoa tamko.
Leo imejidhihirisha kwa Rais Magufuli aliposema kuwa kumbe: MAAMUZI YAKE YA UTEUZI NA MUSTAKALI WA TAIFA LETU HUTEGEMEA AMEAMKAJE SIKU HIYO!
Hii Ina maana kwamba teuzi zote, maamuzi yote, mabadiliko ya Sheria za nji na hasa kuwabana wapinzani HUTEGEMEA RAIS AMEAMKAJE!
Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu Tanzania.
Wakati wazungu wanapanga mikakati ya miaka 50 ijayo, sisi tunategemea mtu ameamkaje, tunatokaje hapo.Sheria zinazovunjwa na Wapinzani ni SHERIA ZA MAGUFULI zinazotegemea AMEAMKAJE SIKU HIYO.....!!!
SIO RAHISI KIIVYOMungu amlaani Magufuli....! Tutaona Mungu anasikiliza maombi ya nani...
Wakati wazungu wanapanga mikakati ya miaka 50 ijayo, sisi tunategemea mtu ameamkaje, tunatokaje hapo.
Ndio hivyo na ccm wajiandae kwenye kura za maoni kashasema inategemea na siku hiyo ameamkaje.
Unapotosha mkuu Rais ni taasisi kwaio kabla ya teuzi huwa Kuna tathimini inafanyika kujilizisha na wale wateuliwa kwaio kwa maneno yako hapo ni upotoshaji na unapaswa kupuuzwa
Juha ni wewe unaekariri ujinga. Ibara inasema shall not be obliged to take advice from any person. Sasa ndio kwa akili yako za kipuuzi ndio umegeneralize kuwa maamuzi yoyote? Huna akili rais ana mamlaka ya uteuzi na hili halihitaji ushauri wako wewe mvuta bangi na mnywa konyagi.
Alitaka kuwaletea habari za mood zake za ameamkaje wakina Ramaphosa/Sadc na EAC wkt ule wa mikutano ya mambo ya Corona wakaona huyu jamaa hatujui vzr,sisi tuendelee na mambo yetu hayo mambo ya mood za ameamkaje atapambana na wananchi wake huko.
Leo alikuwa anaongea kama vile ashaapishwa urais 2020/2025.
Kunakuugua na kuna kufa.Unadhani atashindwa?
Kunakuugua na kuna kufa.
Kwenye Jambo lolote Kuna error mkuu lakini uzuri tumepata Rais ambae hacheki na mtu yeyote ambae anataka kuitia hasara nchi yetu tumpe nafasi atuongoze Tena kwa ajili ya ustawi wa taifa letu chuki tuziache utanzania Kwanza. Viva MAGUFULI 2020-2025Wewe ndiye Unataka kupotosha!
Rais Ni TAASISI KAMA ANAFUATA KATIBA NA SHERIA ZA NJI.
Rais huyu Mara nyingi amejitanabaisha kuwa "Yeye huwa hapangiwi" na ukitaka kumpa ushauri ndiyo unapoteza!
Kwenye Uteuzi kuna kitu kinaitwa VETTING na hiyo haifanywi na mtu Mmoja kama anavofanya Magufuli na matokeo yake ndo haya kila siku ni KUMTUMBUA NA KUTEUA!! Mifano iko kibao mfano wazi ni KANGI LUGOLA kuteuliwa kuwa Minister for Internal Affairs ilhali Kangi alikuwa na Tuhuma za Rushwa na alikuwa na kesi Mahakamani....!!Can you comment on that please?
Noma sana!CCM tukisema waliingia Choo Cha Kike mwaka 2015 wanapiga makelele....ngoja wasokotwe na Utawala wa MTU KAAMKAJE!!
Madudu aliyoyafanya kwenye korosho,Ile kauli ya Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(rip) kuwa tunataka Rais atakaye HESHIMU Katiba ya nchi na kwamba hatuwezi kuwa na Rais anayelala na mkewe usiku na halafu kesho yake asubuhi anatoa tamko.
Leo imejidhihirisha kwa Rais Magufuli aliposema kuwa kumbe: MAAMUZI YAKE YA UTEUZI NA MUSTAKALI WA TAIFA LETU HUTEGEMEA AMEAMKAJE SIKU HIYO!
Hii Ina maana kwamba teuzi zote, maamuzi yote, mabadiliko ya Sheria za nji na hasa kuwabana wapinzani HUTEGEMEA RAIS AMEAMKAJE!
Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu Tanzania.
Tumia lugha ya kiungwana dogoNdio maana jamaa linapangua na kuteua na hakuna ufanisi wowote kwa serikali yake coz ya hayo maududu
Unahangaika nini kumbe tungewapa nchi U.N. wangewapangia nani awe raisKule Zanzibar wanapoteza muda maana UNO tayari kuna mtu anamtaka