Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kofia mbili hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona tumeshuhudia baadhi ya majirani zetu Rais anahama chama na anaendelea na urais wake vizuri tu, hapa kinachomlinda ni uwepo wa mgombea binafsi.Wazo lako ni zuri sana lakini wasiwasi wangu ni TIHIS IS AFRICA siasa zetu hazijapevuka kwenye kuipenda nchi na watu wake, wengi wa viongozi wetu wanatanguliza maslahi yao binafsi mbele,
Hivyo wakiwa zaidi ya mmoja kwenye ngazi za juu sana huko nchi unaiweka kuangukia kwenye msukosuko wa hatari sana. Kwamba siku moja Mwenyekiti wa Chama akitofautiana na Rais, rais akafukuzwa kwenye chama unajua nini kitatokea?!?.
Majuzi tu hapa Rais alivyoaga dunia maneno yalizuka nani ataapishwa iwe kwenye hili?!?
ooh!! sijui mimi
mpaka tubadilishe sheria zetu/katiba. hebu nikumbushe ni nchi ipi hiyo??!!Mbona tumeshuhudia baadhi ya majirani zetu Rais anahama chama na anaendelea na urais wake vizuri tu, hapa kinachomlinda ni uwepo wa mgombea binafsi.