Wazo lako ni zuri sana lakini wasiwasi wangu ni TIHIS IS AFRICA siasa zetu hazijapevuka kwenye kuipenda nchi na watu wake, wengi wa viongozi wetu wanatanguliza maslahi yao binafsi mbele,
Hivyo wakiwa zaidi ya mmoja kwenye ngazi za juu sana huko nchi unaiweka kuangukia kwenye msukosuko wa hatari sana. Kwamba siku moja Mwenyekiti wa Chama akitofautiana na Rais, rais akafukuzwa kwenye chama unajua nini kitatokea?!?.
Majuzi tu hapa Rais alivyoaga dunia maneno yalizuka nani ataapishwa iwe kwenye hili?!?
ooh!! sijui mimi