Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Endelea kusubiri lkn assad ndio kwaheri
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
No aid from Russia ,aid from Iran either .Hezibolah is in ICU,what could poor Assad do? He had to swallow his pride and let it go.
 
Anguko la Assad, ni thibitisho tosha kua WAMGHARIBI , wataitawala Dunia siku zote.

Na URUSI China, na washirika wake Hawa wote ni suala la Muda ila wataanguka.
 
Syria ilikuwa imeoza how come hawa Watu waishinde Jeshi lenye Vifaru na ndege na Makombora
 
Mrusi anawekwa busy makusudi, yuko too expanded kwa sasa hawez saidia washirika wake kimamilifu
mkenge aliingia mwenyewe na Putin atamkumbuka sana mkuu wa KBG....alipomwambia tusivamie Ukraine akakaidi ulikuwa ni mtego mkubwa sana kwa urusi na uputin wenyewe
 
Ni kwamba ata jeshi la serikali ni kama lilikua limechoka hawaja taka kupambana kabisa. Ndio maana waasi wenye boda boda walikua wanaendesha bila hofu kabsa kubebea miji
 
Mnamuonea Erdogan bure, huu ni mchoro wa Israel kutaka kuvimaliza vikundi vya kigaidi vinavyoisumbua na vinavyofadhiliwa na Iran kwa kuitumia Syria kupitishia silaha kuwapelekea hivyo vikundi vya kigaidi.
Makundi ya iran yanajitengenezea silaha yenyewe hawa waasi wanaoungwa mkono na uturuki lazima turkey naye atengenezewe dawa
 
Ila haya mambo huwa kama yana laana flani hivi.

Sasa hivi watu wanasherehekea lakini baadaye wataishia kufarakana na kuanza kutwangana tena kugombea madaraka.
Syria itatulia only kama Israeli na Uturuki wakikubaliana nani awe mpakani kwake..
 
Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Asad alikuwa anawategemea sana Hezbola, Iran na Urusi

Iran na Hezbola wote wametobwa na Israel,

Urusi ndio hivyo ana fupa lake kule Ukraine,
Urusi kajaribu kurusha vikombora vyake kuwa zima waasi lakini wapi,.

Ila USA nyoko aisee, kamfungulia Urusi na Iran front nyingine ya vita alafu wote wametimua mbio mapema tu.

Urusi na Iran ni mavi matupu. Hivi walikuwa wanalinda nini sasa pale Syria?

Hivi Edogan ni pro Rusia na Iran au pro USA na Israel maana simweliwi. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndugu zangu wasuni na washia tuache kupigania

Mtume wetu akitusia adui yetu Ni mayahud na makafiri

Tuwaangamize Hawa ili mola wetu akatuzawadie katika zile bikra tamu alizotuahidia πŸ˜‹
Uzinzi unakusumbua. Umuue mwenzio kisa kupewa wanawake bikra!?. Duh!?. Inabidi mtafakari kwa kina Hilo andiko lenu.
Huwa nawaza huyo mungu wenu aliyewaambia muue wasio waislam ni mungu wa namna gani.
Maana Mwenyezi Mungu kwa uwezo wake anao uwezo wa kumtokomeza shetani ila kamuacha. Pia alikuwa na uwezo wa kuangamiza wote wasio waislam endapo wangekuwa wanafanya makosa. Kwa hiyo mnataka kuniambia yeye Mungu kakosa uwezo hadi awape nyie binadamu muue wasio waislam!?.
 
Ndugu zangu wasuni na washia tuache kupigania

Mtume wetu akitusia adui yetu Ni mayahud na makafiri

Tuwaangamize Hawa ili mola wetu akatuzawadie katika zile bikra tamu alizotuahidia πŸ˜‹
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…