Olodarasero
Senior Member
- Aug 4, 2024
- 122
- 196
But shia ni wengi Sanaa Syriakinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But shia ni wengi Sanaa Syriakinga
Upo kijiwe cha msikiti gani nije hapo kupata gahawa?Safi sana nilitamani sana wasuni wachukue hili taifa ili iwe kinga kwa saudi.
Waondolewe na nanSaudi ni kibaraka wa marekani.
ndo maana utawala wake hauguswi.ila nao wanapaswa waondolewe.
Kwani Assad na gadaff wameondolewa na nani?Waondolewe na nan
Endelea kusubiri lkn assad ndio kwaheriKwa Syria ni ngumu kuna makundi ya waasi ya jamii mbalimbali duniani, wachina, waturkey, warusi, wasaudi yaani magaidi yooote ya kundi la ISIS waliokuwa magerezani duniani waliachiwa wakapelekwa Syria, kilochowashangaza wamagharibi Moscow na Tehran kuruhusu nchi Assad aiachie pasipo mapigano na mauwaji ya kutisha, swali Syria itaelekea wapi na itaweza kudhibitiwa vipi iweze kutawalika, kumbuka wanajeshi wengi wa Syria wamerudi uraiani na wengine wamekimbilia nchi jirani na silaha zao mkononi kusikilizia game linaendeleaje!!!😀
No aid from Russia ,aid from Iran either .Hezibolah is in ICU,what could poor Assad do? He had to swallow his pride and let it go.Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Sijui wameondolewa na nanKwani Assad na gadaff wameondolewa na nani?
Syria ilikuwa imeoza how come hawa Watu waishinde Jeshi lenye Vifaru na ndege na MakomboraMapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!
Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.
It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.
People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.
It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says
BBC
=====
View attachment 3171862
Alfajiri ya leo, Desemba 8, 2024, utawala wa miaka 53 wa familia ya Assad nchini Syria umefikia kikomo rasmi.
Vikundi vya waasi vimechukua udhibiti wa mji wa Damascus, huku Rais Bashar al-Assad akiripotiwa kukimbilia mafichoni kusikojulikana.
View attachment 3171863
Akili ya turkey hii acha umama..US..sio mchezo piga vikwazo hakikisha Hana kitu,mrusi anavita anzisha mashambulizi
mkenge aliingia mwenyewe na Putin atamkumbuka sana mkuu wa KBG....alipomwambia tusivamie Ukraine akakaidi ulikuwa ni mtego mkubwa sana kwa urusi na uputin wenyeweMrusi anawekwa busy makusudi, yuko too expanded kwa sasa hawez saidia washirika wake kimamilifu
Makundi ya iran yanajitengenezea silaha yenyewe hawa waasi wanaoungwa mkono na uturuki lazima turkey naye atengenezewe dawaMnamuonea Erdogan bure, huu ni mchoro wa Israel kutaka kuvimaliza vikundi vya kigaidi vinavyoisumbua na vinavyofadhiliwa na Iran kwa kuitumia Syria kupitishia silaha kuwapelekea hivyo vikundi vya kigaidi.
Vipi kuhusu anguko la ukraine mkuuAnguko la Assad, ni thibitisho tosha kua WAMGHARIBI , wataitawala Dunia siku zote.
Na URUSI China, na washirika wake Hawa wote ni suala la Muda ila wataanguka.
Syria itatulia only kama Israeli na Uturuki wakikubaliana nani awe mpakani kwake..Ila haya mambo huwa kama yana laana flani hivi.
Sasa hivi watu wanasherehekea lakini baadaye wataishia kufarakana na kuanza kutwangana tena kugombea madaraka.
Asad alikuwa anawategemea sana Hezbola, Iran na UrusiKiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Uzinzi unakusumbua. Umuue mwenzio kisa kupewa wanawake bikra!?. Duh!?. Inabidi mtafakari kwa kina Hilo andiko lenu.Ndugu zangu wasuni na washia tuache kupigania
Mtume wetu akitusia adui yetu Ni mayahud na makafiri
Tuwaangamize Hawa ili mola wetu akatuzawadie katika zile bikra tamu alizotuahidia 😋
😆😆😆Ndugu zangu wasuni na washia tuache kupigania
Mtume wetu akitusia adui yetu Ni mayahud na makafiri
Tuwaangamize Hawa ili mola wetu akatuzawadie katika zile bikra tamu alizotuahidia 😋