Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Hiyo ni ndoto tu Assad ndio kwaheri hivyo na atabaki tu kwenye vitabu vya historia kwamba aliwahi kuwa mtawala wa kibabe wa taifa la Syria.

It will be Precious Memories 😍 😍
Sahihi kabisa tutamsoma kama wenzake akina Gaddafi na sadam Hussein
 
Walijipanga muda saana, alaf pia walimtaim Putin manake alikuwa busy na Ukrain
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
ali
 
Ila haya mambo huwa kama yana laana flani hivi.

Sasa hivi watu wanasherehekea lakini baadaye wataishia kufarakana na kuanza kutwangana tena kugombea madaraka.
Hali hiyo ni Common kwa Waarabu
 
Mumeanza kutuchanganya tena na nyie wachambuzi wa middle east
 
Ni kwamba ata jeshi la serikali ni kama lilikua limechoka hawaja taka kupambana kabisa. Ndio maana waasi wenye boda boda walikua wanaendesha bila hofu kabsa kubebea miji
πŸ˜‚πŸ˜‚ Boda boda huko kumbe wanaweza kuteka miji, boda boda maheshimiwe kwa kweli 🀣🀣
 
β€œTazama, Dameski haitakuwa tena mji bali itakuwa lundo la magofu."

β€œSee, Damascus will no longer be a city
but will become a heap of ruins”

Isaya 17...
Bado dunia ya Leo mnaendelea kupumbazwa na haya maandiko?
 
Vita ni pesa.. sasa wasaidizi wa bashaar yani iran (hezbollah) na russia wote wapo vitani.. na ni nchi chache sana dunian zenye ubavu wakupigana vita mbili kwa wakati mmoja.. gharama zake sio poa.
Yeap. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja kulimponza hitler na operation yake barbarosa.. Yaani katangaza vita na ufaransa na uingereza huku tena katangaza vita na mrusi. Kilichotokea mjerumani akawekwa mtu kati.Akapigwa counter assault ya maana.
 
Vita ya Ukraine vimeinyong'onesha urusi hivyo kushindwa kumpa support ya kutosha Assad hence kupinduliwa kirahisi.
 
Kuna wagagagigikoko humu waliandika urusi na iran hawatakubali assad aanguke watampigania kufa na kupona utawala wake usianguke. Baada assad kuanguka waende iran kuwatimua maayatollah watoe kongwa zito mashariki ya kati
 
Never trust Iran... Au mtu yoyote mwenye mikwara na Show offs
 
Wakati huohuo habari zinasema Maelfu ya Hamas wanaendelea kuuwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…