Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Hiyo ni ndoto tu Assad ndio kwaheri hivyo na atabaki tu kwenye vitabu vya historia kwamba aliwahi kuwa mtawala wa kibabe wa taifa la Syria.

It will be Precious Memories 😍 😍
Sahihi kabisa tutamsoma kama wenzake akina Gaddafi na sadam Hussein
 
Walijipanga muda saana, alaf pia walimtaim Putin manake alikuwa busy na Ukrain
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
ali
 
Ila haya mambo huwa kama yana laana flani hivi.

Sasa hivi watu wanasherehekea lakini baadaye wataishia kufarakana na kuanza kutwangana tena kugombea madaraka.
Hali hiyo ni Common kwa Waarabu
 
View attachment 3171972

Ni kama vita mpya inaanza soon kama hawatafikia makubaliano hao wa Zambarau Ndio Waliomtoa Assad Damascus hao wa kijani kuelekea Uturuki Ndio HTS na wanaonekana na nguvu ila wanaunga mkono Serikali nyingine ya mpito.

Wa njano walishajitangazia Uhuru, ila Uturuki hataki kusikia Hilo, Israel na

Marekani inasupport hao Wa njano na Zambarau, ila Israel yeye ana support wa njano kwa 100% na yuko tayari kuwapa msaada wa Kijeshi pia hawaamini sana wa Zambarau but anataka kuwa na State ya Wadruze mpakani kwake...

Kule pekundu ni nyumbani kwa Akina Assad na kambi zote za Russia zipi...

Inshort Uasi mpya Syria unaweza kuanzia popote
Mumeanza kutuchanganya tena na nyie wachambuzi wa middle east
 
Ni kwamba ata jeshi la serikali ni kama lilikua limechoka hawaja taka kupambana kabisa. Ndio maana waasi wenye boda boda walikua wanaendesha bila hofu kabsa kubebea miji
😂😂 Boda boda huko kumbe wanaweza kuteka miji, boda boda maheshimiwe kwa kweli 🤣🤣
 
“Tazama, Dameski haitakuwa tena mji bali itakuwa lundo la magofu."

“See, Damascus will no longer be a city
but will become a heap of ruins”

Isaya 17...
Bado dunia ya Leo mnaendelea kupumbazwa na haya maandiko?
 
Vita ni pesa.. sasa wasaidizi wa bashaar yani iran (hezbollah) na russia wote wapo vitani.. na ni nchi chache sana dunian zenye ubavu wakupigana vita mbili kwa wakati mmoja.. gharama zake sio poa.
Yeap. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja kulimponza hitler na operation yake barbarosa.. Yaani katangaza vita na ufaransa na uingereza huku tena katangaza vita na mrusi. Kilichotokea mjerumani akawekwa mtu kati.Akapigwa counter assault ya maana.
 
Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!

Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.

It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.

People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.

It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says

BBC

=====
View attachment 3171862
Alfajiri ya leo, Desemba 8, 2024, utawala wa miaka 53 wa familia ya Assad nchini Syria umefikia kikomo rasmi.

Vikundi vya waasi vimechukua udhibiti wa mji wa Damascus, huku Rais Bashar al-Assad akiripotiwa kukimbilia mafichoni kusikojulikana.
View attachment 3171863
Vita ya Ukraine vimeinyong'onesha urusi hivyo kushindwa kumpa support ya kutosha Assad hence kupinduliwa kirahisi.
 
Kuna wagagagigikoko humu waliandika urusi na iran hawatakubali assad aanguke watampigania kufa na kupona utawala wake usianguke. Baada assad kuanguka waende iran kuwatimua maayatollah watoe kongwa zito mashariki ya kati
 
Never trust Iran... Au mtu yoyote mwenye mikwara na Show offs
 
Wakati huohuo habari zinasema Maelfu ya Hamas wanaendelea kuuwawa.
 
Back
Top Bottom