Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!

Imekushangaza kwa vipi? Hukuziona dalili za wazi dadangu! Waliyokuwa wakiibeba, ni Iran, Urusi na Hezbollah! Wote hao yamewazidi, Hezbollah ilibidi iondoe wanajeshi wake irudi nyumbani kupambana na Israel, hii ilikuwa pigo kubwa! Iran ina mengi mno....Ipigane na Israel, isaidie Hezbollah, na Hezbollah imewaangusha pakubwa! Urusi inabidi iongeze nguvu Ukraine.....Hukuona haya yote Nifah?
 
Kuhusu
Vita ya Ukraine vimeinyong'onesha urusi hivyo kushindwa kumpa support ya kutosha Assad hence kupinduliwa kirahisi.
Russia kushindwa kuipa support Syria naona kaka Russia inasingiziwa tu. Issue kubwa ni Jeshi la Syria kutotaka kupigana. Russia ingefanya nn katika mazingira kama hayo?
 
Assad is done and dusted!

Ni nderemo na vifijo tu kwenye mitaa ya Damascus.

Familia moja imetawala Syria kwa miaka 54!

These people have no discernment, whatsoever.
Najiuliza Urusi wako wapi...?? Maana wamekuwa wakimtetea kwa muda mrefu sasa
 
Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi wa Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus
Dah,
Huo ni ushindi dhidi ya Russia, Iran, Hezbollah ambao ndo walikuwa wasaidizi na wafadhili wakuu wa majeshi ya Assad
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Watu walio seeious na maisha hao. Sio sie oh tunamuachia mungu 🤣🤣🤣🤣
 
Magari ya pickups za kubebebea mkaa ndiyo yameukomboa mji.
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
US ni mtu mbaya sana, wakishirikiana na mayahudi ni mpango maalum lakini pia Syria wenyewe wametumika kuna walio wanafiki pia hata katika jeshi hilo hilo la Assad wako wengi waliounga mkono opposition walipisha njia na kuvua gwanda watu wasonge mbele,
 
Hayo yote yanawezekana ukiwa puppert na western mkuu, huwa hawaangalii katiba ya nchi yako ukilinda maslahi yao, Hivi unaweza kuniambia kati ya Iran na Saudi Arabia nchi ipi ni katili sana kwa raia zake!?
Saudia
 
Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Urusi iko buay na vita vya nchini kwake ndio maana saiduzi wake mkuu hakuonekana na ikatumia kaa wekaness point
 
Naked. Truth
 
Angalizo murua kabisa!
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Umeonaaeee, Assad bila msaada wa Iran na Urusi angekwisha ondolewa toka mwaka 2013.
 
Ila haya mambo huwa kama yana laana flani hivi.

Sasa hivi watu wanasherehekea lakini baadaye wataishia kufarakana na kuanza kutwangana tena kugombea madaraka.
Kabisa aisee, hilo la kugombana wao kwa wao linaonekana kabisa...

Hayo makundi yaliyomtoa Assad wametofautiana mengi kuanzia Itikadi za kisiasa mpaka Idiolojia, kilichowaunganisha ni kimoja tu ' kumpindua Assad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…