Yalishapangwa hayo tuko nyakati za mwisho kuelekea NWO, ila Wakristo wa Syria watamkumbuka sana Assad, leo hi I unamtoa Assad mnawaweka ISIS, il Israel iweze kuongeza Ardhi kusini mwa Syria😀
Hamna mapigano yeyote yale dogo mbona muongo sana wewe.. Wanajeshi wamegoma kupigana so wanasalimisha silaha na wengine wamevua magwanda na kuvaa kiraia.. waziri mkuu amesema atabakia kukabidhi ofisi ili nchi isiyumbe kama ilivyotokeaga Iraq.. na Waasi wamesema Waziri mkuu aendelee na kazi hadi muda muafaka.. waasi wanataka Syria huru ya haki kwa wote kama Marehemu maalim Seif wa CUF.. acheni uvivu wa kukusanya habari mnaanza kujitungia tuMapigano ndani ya Damascus kwa sasa....
Ndio malengo ya western inchi inapokuwa haina utulivu ni rahisi wao kuendelea kuiba mafuta na gas Syria sema nini mungu katunyima akili na maarifa Waarabu ma waafrika makusudi ili Wayahudi waitawale vizuri duniaInaelekea huko. Sema Hawa majamaa inaonekana kuna kitu wanacho. Wanaweza kuongoza kwa muda mrefu.
Jamaaa kamba sana uyuMapigano ndani ya Damascus kwa sasa....
Haki ya kuwa mornach wanayo uingereza tu.ila wengine hawatakiwi kuwa mornach?
Jamaa walikuwa wamejipangaAlijitahidi kupiga mabomu akashindwa.
Hapawezi kutulia
Ni kweli lakini hadi muda huu twaandika hapa ISIS ni designated magaidi kwa mujibu wa Marekani na Russia.Ugaidi ni suala la mtazamo tu.
Kuna kipindi hata Al Qaeda walikuwa ni washirika wa Marekani, enzi za uvamizi wa USSR huko Afghanistan.
Hata ANC kuna kipindi ilikuwa designated kama kundi la kigaidi.
Leo hii ANC ni chama tawala AK.
kwan unahis nan alikuwa anawatumia hao ISIS ? au unaamin yale maigizo?Lakini cha ajabu ambacho wengi twashangaa ni kwamba HTS ni magaidi kwamba ni generation ya ISIS.
Sasa iweje leo waaminike kufanya kazi waloifanya na je watakubali kuachia uongozi wa kiraia Syria?
Jamaa walikuwa wamejipanga
Mie sihisi mkuu, natambua hawa jamaa chanzo mlezi wao na mfadhili wao mkuu.kwan unahis nan alikuwa anawatumia hao ISIS ? au unaamin yale maigizo?
Ugomvi wa Ruto na wananchi wake ni kugombania kibaba cha unga mkuu.ruto must go....anafataaa....gen z wanamsagia kunguni nomaa
Not really….kimsingi hakuna tofauti.But hata sisi ni yaleyale tu - Chama kimoja miaka zaidi ya 60 na familia moja miaka 54 kuna tofauti..tena ukiangalia na viinua mgongo na allowances zilizopitishwa kwa wastaafu na wenza wao..Kuna utofauti??
Katiba si inatungwa na watu?Monarch ipo kikatiba sio ya kujitungia. Kwa mfano Swaziland ni monarch kikatiba. Ila Syria sio Monarch kikatiba. Ni kama Tanzania Leo, atoke Nyerere urais halafu Makongoro awe Rais mpaka Leo huwezi kusema hiyo ni Monarch.
Ni kweli lakini hadi muda huu twaandika hapa ISIS ni designated magaidi kwa mujibu wa Marekani na Russia.
HTS wamejibadili jina badala la jina waloitwa Nusra Front na walipofurumushwa pale Aleppo na Russia 2015 wakaenda Idbil ndo ukawa mji wao.
HTS wana uhusiano na Alqaeda na lilianzishwa ili kumpinga Assad kiongozi wao akiwa ni Golani.
Aliitwa gaidi lakini juzijuzi kaenda CNN kafanyiwa interview kumsafisha kwa ajili ya shughuli ya Syria.
Katiba si inatungwa na watu?
Vp kama wananchi ndo waliamua iwe hivyo Assad fsmili itawale muda wote?kwanini magharb na ulaya wanaingilia?
Uturuki naye hayuko safe sana.Mwaka 2016 walikosakosa kumpindua Erdogan..nusura wammalize, hizo movements bado zipo..ndo maana juzi hapa limepigwa shambulio la kigaidi.Uturuki mwepesi sana - ina mianya mingiUturuki itapiganaje na waasi?. Wao ndio wanawasapoti
Magharibi imepambana Sana kumuondoa Assad sema Iran na Russia zilijitahidi ilo lisi tokee.Nchi kubwa kama Syria inatekwa ndan ya wiki mbili
wasyria ndo wenye haki ila sio familia moja ijiamulie mwelekeo wa nchi , tumia akil mbusi wwHaki ya kuwa mornach wanayo uingereza tu.ila wengine hawatakiwi kuwa mornach?