Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Yalishapangwa hayo tuko nyakati za mwisho kuelekea NWO, ila Wakristo wa Syria watamkumbuka sana Assad, leo hi I unamtoa Assad mnawaweka ISIS, il Israel iweze kuongeza Ardhi kusini mwa Syria😀

Sidhani. Wakristo wengi wapo Alepo na waasi walipoteka Alepo hawakuua hata mkristo mmoja. Hawa wamekuja kivingine. Ile Ideology ya ISIS wameiondoa.
 
Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa....
Hamna mapigano yeyote yale dogo mbona muongo sana wewe.. Wanajeshi wamegoma kupigana so wanasalimisha silaha na wengine wamevua magwanda na kuvaa kiraia.. waziri mkuu amesema atabakia kukabidhi ofisi ili nchi isiyumbe kama ilivyotokeaga Iraq.. na Waasi wamesema Waziri mkuu aendelee na kazi hadi muda muafaka.. waasi wanataka Syria huru ya haki kwa wote kama Marehemu maalim Seif wa CUF.. acheni uvivu wa kukusanya habari mnaanza kujitungia tu
 
Inaelekea huko. Sema Hawa majamaa inaonekana kuna kitu wanacho. Wanaweza kuongoza kwa muda mrefu.
Ndio malengo ya western inchi inapokuwa haina utulivu ni rahisi wao kuendelea kuiba mafuta na gas Syria sema nini mungu katunyima akili na maarifa Waarabu ma waafrika makusudi ili Wayahudi waitawale vizuri dunia
 
Haki ya kuwa mornach wanayo uingereza tu.ila wengine hawatakiwi kuwa mornach?

Monarch ipo kikatiba sio ya kujitungia. Kwa mfano Swaziland ni monarch kikatiba. Ila Syria sio Monarch kikatiba. Ni kama Tanzania Leo, atoke Nyerere urais halafu Makongoro awe Rais mpaka Leo huwezi kusema hiyo ni Monarch.
 
Ugaidi ni suala la mtazamo tu.

Kuna kipindi hata Al Qaeda walikuwa ni washirika wa Marekani, enzi za uvamizi wa USSR huko Afghanistan.

Hata ANC kuna kipindi ilikuwa designated kama kundi la kigaidi.

Leo hii ANC ni chama tawala AK.
Ni kweli lakini hadi muda huu twaandika hapa ISIS ni designated magaidi kwa mujibu wa Marekani na Russia.

HTS wamejibadili jina badala la jina waloitwa Nusra Front na walipofurumushwa pale Aleppo na Russia 2015 wakaenda Idbil ndo ukawa mji wao.

HTS wana uhusiano na Alqaeda na lilianzishwa ili kumpinga Assad kiongozi wao akiwa ni Golani.

Aliitwa gaidi lakini juzijuzi kaenda CNN kafanyiwa interview kumsafisha kwa ajili ya shughuli ya Syria.
 
Lakini cha ajabu ambacho wengi twashangaa ni kwamba HTS ni magaidi kwamba ni generation ya ISIS.

Sasa iweje leo waaminike kufanya kazi waloifanya na je watakubali kuachia uongozi wa kiraia Syria?
kwan unahis nan alikuwa anawatumia hao ISIS ? au unaamin yale maigizo?
 
kwan unahis nan alikuwa anawatumia hao ISIS ? au unaamin yale maigizo?
Mie sihisi mkuu, natambua hawa jamaa chanzo mlezi wao na mfadhili wao mkuu.

Si jambo la kuhisi ni kuona na kutambua.
 
But hata sisi ni yaleyale tu - Chama kimoja miaka zaidi ya 60 na familia moja miaka 54 kuna tofauti..tena ukiangalia na viinua mgongo na allowances zilizopitishwa kwa wastaafu na wenza wao..Kuna utofauti??
Not really….kimsingi hakuna tofauti.

That’s why a day of reckoning will one day be upon us if CCM doesn’t see the error of its ways and course correct.
 
Monarch ipo kikatiba sio ya kujitungia. Kwa mfano Swaziland ni monarch kikatiba. Ila Syria sio Monarch kikatiba. Ni kama Tanzania Leo, atoke Nyerere urais halafu Makongoro awe Rais mpaka Leo huwezi kusema hiyo ni Monarch.
Katiba si inatungwa na watu?
Vp kama wananchi ndo waliamua iwe hivyo Assad fsmili itawale muda wote?kwanini magharb na ulaya wanaingilia?
 
Ni kweli lakini hadi muda huu twaandika hapa ISIS ni designated magaidi kwa mujibu wa Marekani na Russia.

HTS wamejibadili jina badala la jina waloitwa Nusra Front na walipofurumushwa pale Aleppo na Russia 2015 wakaenda Idbil ndo ukawa mji wao.

HTS wana uhusiano na Alqaeda na lilianzishwa ili kumpinga Assad kiongozi wao akiwa ni Golani.

Aliitwa gaidi lakini juzijuzi kaenda CNN kafanyiwa interview kumsafisha kwa ajili ya shughuli ya Syria.

Nilishangaa kuona anahojiwa CNN .Nikajua hapa Assad Hana lake Tena.
 
Katiba si inatungwa na watu?
Vp kama wananchi ndo waliamua iwe hivyo Assad fsmili itawale muda wote?kwanini magharb na ulaya wanaingilia?

Wangeweka kikatiba kwamba Syria itatawaliwa na familia ya Assad milele.
 
Nchi kubwa kama Syria inatekwa ndan ya wiki mbili
Magharibi imepambana Sana kumuondoa Assad sema Iran na Russia zilijitahidi ilo lisi tokee.

Sasa Russia Kibarua chake kimekua kigumu, Iran kupitia Hezbollah wame ondoka Syria wako Lebanon kwaiyo Assad alikua uchi kwenye ulinzi.

Ndio maana inaonekana kama imekua kazi rahisi kwa waasi kuingia Damascus kuliko ilivyo tarajiwa lakini Mabeberu wa Magharibi wakianza mpango uo Tangu kipindi Cha Obama kilicho tokea wamekisubiri kwa miaka mingi katika uwanja wa vita.
 
Back
Top Bottom