Rais awamu ya Sita alichaguliwa na nani?

Raisi mpya anapoingia madarakani kisheria inakuwa ni awamu mpya .! Bila kujali kaingiaje na ana ruksa ya kuingia na sera zake mwenyewe bila kufuata za mtangulizi wake, sio Tanzania tu hii ni sheria ya kikatiba ya nchi nyingi tu duniani.

Na ndio sababu awamu ya sasa inaitwa awamu ya 6 kwa sababu Samia ni raisi wa 6 kushika madaraka ya Tanzania.
 
wa awamu ya ngapi ?
Hiyo Habari au neno awamu linatajwa wapi kwenye katiba ipi au Sheria ipi au kanuni ipi. Nani kamuambieni kuwa Kuna ulazima wa kusema Habari awamu mpaka mpigie watu kelele hizi za awamu. Rais halali wa nchi hazuiwi hata akiamua asijiite awamu. Mwendawazimu aliyeanzisha mambo ya awamu ndie anayewasumbua. Kwa Sasa mama ndie rais wa jmt na TAL anapumua. Kubalini tu hilo
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!

Kwanza tukizungumzia suala la kulazimisha vitu kwa Nini yule wenu alikuwa analazimisha watu wampende
 
Hata swali lako ni null and void kwa vile nchi hii tangu ipate uhuru, haijawahi kuwa na awamu ya 6. Mtu akikuita Jane wakati wewe ni Robert, haikugeuzi wewe kuwa Jane. Hakuna awamu ya 6 Tanzania. Tukatae utapeli. Pesa watuibie halafu hata awamu watudanganye!!
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Nilipost bandiko linalofanana na hili lakini watu hawakuelewa
Awamu tunazipata kwa kuhesabu changuzi zinazotupa marais.

Rais wa awamu ya tano hakumaliza muda wake,hiyo huyu tunastahili kumwita Rais wa sita na siyo wa awamu ya sita

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Huu ujinga tumepigana nao Sana lkn bado unaendelea kutamalaki.

Naandika tena kwa faida ya wajinga wengine.

Awamu ni kichwa Cha rais na legacy yake. Awamu siyo vipindi vya urais Kama ilivyobainishwa na katiba.

Ndiyo maana Zanzibar iko awamu ya 8.

Wajinga wote mmeelewa Sasa??
Umenena vema sisi wajinga,tunaeza badirika.wewe ni mpumbavu ndiyo maana hata ukielimishwa huelewi na huroelewa
Huelewi maana ya awamu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Raisi mpya anapoingia madarakani kisheria inakuwa ni awamu mpya .! Bila kujali kaingiaje na ana ruksa ya kuingia na sera zake mwenyewe bila kufuata za mtangulizi wake, sio Tanzania tu hii ni sheria ya kikatiba ya nchi nyingi tu duniani.

Na ndio sababu awamu ya sasa inaitwa awamu ya 6 kwa sababu Samia ni raisi wa 6 kushika madaraka ya Tanzania.
Ni Rais wa6 siyo awamu ya 6

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
je aliapishwa au hakuapishwa

ukiapishwa kuwa raisimaana yakehuoniutawala mpya na awamumpya, angeendelea kuongoza bila kuapishwa ingeendelea awamuileile
 
kama ulikuwa unamtambua jpm, basi na huyu mama alichaguliwa, hata kama wewe haukumchagua. kwenye picha ya jpm alikuwa anapigiwa pia huyu. au huelewi hilo?
Lakini JPM na SSH wote walichaguliwa kweli na sisi wananchi ili wamalizie au watuongoze kipindi Cha pili Cha awamu ya Tano. Sasa awamu ya Sita umetoka wapi? Hebu tuelimishane kidogo
 
je aliapishwa au hakuapishwa

ukiapishwa kuwa raisimaana yakehuoniutawala mpya na awamumpya, angeendelea kuongoza bila kuapishwa ingeendelea awamuileile
Hii ni kwa mujibu wa kifungu kipi Cha katiba mkuu, hebu type elimu na sisi ili tuwe kwenye ufahamu mmoja
 
Back
Top Bottom