Rais awamu ya Sita alichaguliwa na nani?

Rais awamu ya Sita alichaguliwa na nani?

Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Alichaguliwa na Mahera
 
Hili jambo liko kisiasa.maana halina vivid evidence inayoeleweka toka kwenye makabrasha zaidi ya maelezo ya wanasiasa wanufaika.Na aliyelitamka awali peupe alilenga kunufaika zaidi na ukuu bila bugudha maana anajua wabongo hawataweza kuhoji nakutaka ufafanuzi wakina.Kwahiyo mwenzako kajipigia pasi ndefu kua kwasasa hamalizi awamu ya mtu bali ni yakwake na ananafasi tena next time.Kwa hili nifaida zaidi kwake kuliko angemalizia kisha akataka tena yakwake.
 
Umeelewa hoja ya mleta uzi au ndio kukurupuka kama kawaida!!??
Tafadhali uwe na kawaida ya kurudia kusoma uzi au jambo lolote mara sita sita ili uelewe maana waonekana wewe ni wale akili inafanya kazi kwa mwendo wa katibu wa uenezi wa zamani na mkuu wa chuo cha uongozi.

Wewe mwenyewe umekurupuka kunijibu
Au unafikiri umenielewa😂
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Unapungukiwa nini kumuita Rais wa Awamu ya 6?

Kwa kumbukumbu zangu, wakati Rais Ali Hassan Mwinyi anatawala 1985-95 sikuwahi kusikia watu walisema Rais wa Awamu ya Pili. Haya mambo ya Awamu yameanza kusikika miaka ya hivi karibuni baada ya Kikwete kuwa Rais.

Hebu tusishipalie non-issues otherwise tuna cease kuwa GTs
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Swali la kijinga na la kipumbavu ,KWa nini Kuna kulwa na doto, ni katiba ile ile mbovu imemsimamisha ,kuhoji Hili ni upumbavu , Cha msingi katiba mpya lazima sasa
 
Lazima utamani kuweka muwamuzi anaweza kukupa favour ukicheza rafu kwa team pinzani.
Mrithi wa awamu ya tano na si km yeye anavyolazimisha ni awamu ya sita
Mrithi wa awamu ya tano na si km yeye anavyolazimisha ni awamu ya sita
Mrithi wa awamu ya tano na si km yeye anavyolazimisha ni awamu ya sita
Mtu wa kwanza aliye kukaririsha kwamba rais halali wa tanzania anapatikana kwa kupigiwa kura pekee ndiye adui yako namba moja
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Mvua inanyesha hii fikiria utaitumia vipi hata kutega bwawa la samaki wanaosombwa na maji, badala ya kufikiria vitu ambavyo vinaeleweka hata kwa mtoto anayesoma darasa la tano.
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Ulimchagua wewe ulipokwenda kumpigia kura JPM. Kama hujui maana ya katiba tafuta wajuzi wakuelimishe mengi usiyoyajua.
 
Raisi mpya anapoingia madarakani kisheria inakuwa ni awamu mpya .! Bila kujali kaingiaje na ana ruksa ya kuingia na sera zake mwenyewe bila kufuata za mtangulizi wake, sio Tanzania tu hii ni sheria ya kikatiba ya nchi nyingi tu duniani.

Na ndio sababu awamu ya sasa inaitwa awamu ya 6 kwa sababu Samia ni raisi wa 6 kushika madaraka ya Tanzania.
Hao wanaumia sana mioyoni kuona Tanzania inaongozwa na mwanamke tena kutoka Kizimkazi Unguja. Ni wa kuhurumia tu na kuachana nao.
 
Back
Top Bottom