Hivi katiba unasemaje katika Hili? Tusiandike kwa uelewa wetu hebu tuweke na virungu vya katiba yetu. Inawezekana wajinga tu wengi hapa tupate elimu sahihi.Huu ujinga tumepigana nao Sana lkn bado unaendelea kutamalaki.
Naandika tena kwa faida ya wajinga wengine.
Awamu ni kichwa Cha rais na legacy yake. Awamu siyo vipindi vya urais Kama ilivyobainishwa na katiba.
Ndiyo maana Zanzibar iko awamu ya 8.
Wajinga wote mmeelewa Sasa??
Type hicho kifungu Cha Sheria mkuu usiandike tu kujifurahisha, tupe kifungu hicho Cha Sheria ili tuelimike na sisi na mjadala ufungweRaisi mpya anapoingia madarakani kisheria inakuwa ni awamu mpya .! Bila kujali kaingiaje na ana ruksa ya kuingia na sera zake mwenyewe bila kufuata za mtangulizi wake, sio Tanzania tu hii ni sheria ya kikatiba ya nchi nyingi tu duniani.
Na ndio sababu awamu ya sasa inaitwa awamu ya 6 kwa sababu Samia ni raisi wa 6 kushika madaraka ya Tanzania.
Basi ni wa awamu ya tano, kufuatana na maelezo yako haya.kama ulikuwa unamtambua jpm, basi na huyu mama alichaguliwa, hata kama wewe haukumchagua. kwenye picha ya jpm alikuwa anapigiwa pia huyu. au huelewi hilo?
Huyo hawezi kukuelewesha chochote, na wala katiba haisemi kitu kuhusu mambo ya "Awamu."Hivi katiba unasemaje katika Hili? Tusiandike kwa uelewa wetu hebu tuweke na virungu vya katiba yetu. Inawezekana wajinga tu wengi hapa tupate elimu sahihi.
Jikite kwenye hojaKwanza tukizungumzia suala la kulazimisha vitu kwa Nini yule wenu alikuwa analazimisha watu wampende
okaySamia ndo Rais wa Awamu ya 6 na yupo Madarakani hadi 2030 utake usitake
Hakuna hoja yoyote hapo. Habari za awamu ni porojo tu za mtaani na mtandaoni. Hivi umewahi kusikia hata mtu mmoja bungeni au kwenye chombo chochote makini wakijadili Habari ya hii ni awamu ya ngapi au mnademka tu mtandaoni. SSH ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa JMT. ZOEENIJikite kwenye hoja
Wajinga bado tu? Awamu haijawekwa kwenye katiba. Kilichowekwa kwenye katiba ni mihula miwili ya miaka mitano mitano kuwa ndiyo ukomoHivi katiba unasemaje katika Hili? Tusiandike kwa uelewa wetu hebu tuweke na virungu vya katiba yetu. Inawezekana wajinga tu wengi hapa tupate elimu sahihi.
Kama hujui kitu ukae kimya,kasome katiba ujue,huyu mama amechaguliwa na watanzaniaKwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Kwanza na Mungu pili na wananchi.Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Ni awamu ya sita,kwasababu awamu ya tano iliisha ndipo awanu ya sita akaapishwa,sio kqamba aliingia tu bila kiapo,ukiishaapa unaingia awanu mpyaNaelewa na ndiyo maana Utawala wao ukaitwa awamu ya tano sasa ajabu kwa nini yeye anajitaa ni Rais wa awamu ya sita?!
inaitwa awamu ya tano rais wa 6 ndivyo tulivyo kubaliana
Walimdanganya wahuni. Hapakuwa na kuita awamu ya 6. Yeye angeendelea na awamu ya 5.Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Mkuu kwani hujui kuwa Rais na Makamu wanachaguliwa pamoja, Ndio maana ya neno Tiketi, Wanasafiri kwa tiketi moja.Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Mh! usisahau kuna mengi hapa katikati hii ni dunia hata JPM ilikua hivi hiviSamia ndo Rais wa Awamu ya 6 na yupo Madarakani hadi 2030 utake usitake
Ni kweli alikuwepo kwenye picha lakin tulikuwa tunachagua awamu ya Tano, hivyo nami nafikiria ni awamu ya Tanokama ulikuwa unamtambua jpm, basi na huyu mama alichaguliwa, hata kama wewe haukumchagua. kwenye picha ya jpm alikuwa anapigiwa pia huyu. au huelewi hilo?
Tutaaa...muongezeaaaa πππππSamia ndo Rais wa Awamu ya 6 na yupo Madarakani hadi 2030 utake usitake
Raisi aliapishwa na jaji mkuu kwa mujibu wa katiba ni Raisi wa 6 wa Tanzania.Type hicho kifungu Cha Sheria mkuu usiandike tu kujifurahisha, tupe kifungu hicho Cha Sheria ili tuelimike na sisi na mjadala ufungwe