Rais awamu ya Sita alichaguliwa na nani?

Ni rais wa awamu ya sita lakini kama wewe hupendi kusikia hivyo basi endelea na mawazo yako hakuna anayekukataza.
 
Vitu vingine ni upuuzi tuu kuhoji. So inamaana mama amejiamulia kujiita wa awamu ya 6?.so hakuna principles zinazo mguide kufanya hivyo? Inamaana katiba haionyeshi au maybe sheria zingine zinapingana na hilo? So unamuona hana akili labda.
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
rudishule ukasome halafu uje tena humu utoe ushuzi wako huo
 
Nadhani hiyo Ni kwa mujibu wako
 
Raisi aliapishwa na jaji mkuu kwa mujibu wa katiba ni Raisi wa 6 wa Tanzania.
Hakuna anayebisha kuwa si Rais wa Sita. Ila hili la hawamu linahitaji ufafanuzi
 
Naelewa na ndiyo maana Utawala wao ukaitwa awamu ya tano sasa ajabu kwa nini yeye anajitaa ni Rais wa awamu ya sita?!
Ndo maana kuna watu wanadai katiba mpya, hii ya Sasa hata Salum mwalimu angeweza kuwa rais wa jmt.
 
Samia Suluhu Hassan ni Rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Sasa sijui wewe unaiongelea katiba ipi
Umeelewa hoja ya mleta uzi au ndio kukurupuka kama kawaida!!??
Tafadhali uwe na kawaida ya kurudia kusoma uzi au jambo lolote mara sita sita ili uelewe maana waonekana wewe ni wale akili inafanya kazi kwa mwendo wa katibu wa uenezi wa zamani na mkuu wa chuo cha uongozi.
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Labda kwanza ungelijaribu kutafuta maana halisi ya neno awamu na ni nani aliyeanza kulitumia katika mazingira ya siasa za tanzania.
 
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?

Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?

Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Acha kulia,fanyakazi,upate maendeleo.Mama ameshakuwa Rais,na tabakiwa kuwa amekuwa Rais,Mh Mama Samia,kipenzi cha watanzania halisi.
 
kama ulikuwa unamtambua jpm, basi na huyu mama alichaguliwa, hata kama wewe haukumchagua. kwenye picha ya jpm alikuwa anapigiwa pia huyu. au huelewi hilo?
Umemaliza mjadala.Mwambie mleta uzi,aache kulia lia,afanyekazi.Mama ndio Rais wetu Mpendwa.
 
Samia Suluhu Hassan ni Rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Sasa sijui wewe unaiongelea katiba ipi
Itakuwa kakuelewa,umefafanua vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…