Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Alichaguliwa na MaheraKwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Umeelewa hoja ya mleta uzi au ndio kukurupuka kama kawaida!!??
Tafadhali uwe na kawaida ya kurudia kusoma uzi au jambo lolote mara sita sita ili uelewe maana waonekana wewe ni wale akili inafanya kazi kwa mwendo wa katibu wa uenezi wa zamani na mkuu wa chuo cha uongozi.
Unapungukiwa nini kumuita Rais wa Awamu ya 6?Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Swali la kijinga na la kipumbavu ,KWa nini Kuna kulwa na doto, ni katiba ile ile mbovu imemsimamisha ,kuhoji Hili ni upumbavu , Cha msingi katiba mpya lazima sasaKwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Lazima utamani kuweka muwamuzi anaweza kukupa favour ukicheza rafu kwa team pinzani.
Mrithi wa awamu ya tano na si km yeye anavyolazimisha ni awamu ya sita
Mrithi wa awamu ya tano na si km yeye anavyolazimisha ni awamu ya sita
Mtu wa kwanza aliye kukaririsha kwamba rais halali wa tanzania anapatikana kwa kupigiwa kura pekee ndiye adui yako namba mojaMrithi wa awamu ya tano na si km yeye anavyolazimisha ni awamu ya sita
Mvua inanyesha hii fikiria utaitumia vipi hata kutega bwawa la samaki wanaosombwa na maji, badala ya kufikiria vitu ambavyo vinaeleweka hata kwa mtoto anayesoma darasa la tano.Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Ulimchagua wewe ulipokwenda kumpigia kura JPM. Kama hujui maana ya katiba tafuta wajuzi wakuelimishe mengi usiyoyajua.Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Hao wanaumia sana mioyoni kuona Tanzania inaongozwa na mwanamke tena kutoka Kizimkazi Unguja. Ni wa kuhurumia tu na kuachana nao.Raisi mpya anapoingia madarakani kisheria inakuwa ni awamu mpya .! Bila kujali kaingiaje na ana ruksa ya kuingia na sera zake mwenyewe bila kufuata za mtangulizi wake, sio Tanzania tu hii ni sheria ya kikatiba ya nchi nyingi tu duniani.
Na ndio sababu awamu ya sasa inaitwa awamu ya 6 kwa sababu Samia ni raisi wa 6 kushika madaraka ya Tanzania.
SahauSamia ndo Rais wa Awamu ya 6 na yupo Madarakani hadi 2030 utake usitake