Narudia kusema tena: mifano yako hiyo ni irrelevant kwenye uzi huu.
Mleta mada amelenga tuzo kwa ordinary people wanaofanya tangible interventions za kijamii at the grassroot. Akatuhabarisha na kisa halisi cha 'mganga wa kienyeji' kujenga madarasa mawili ya shule Simiyu. Yaani mganga wa kienyeji kijijini huko anajitolea binafsi kugharamia ujenzi wa madarasa mawili kwenye shule ya umma! Doesn't this touch you? Can't you internalise that?
Mleta mada amejiposition kwenye kisa hicho ili kujenga hoja yake.
Wewe unakomaa kutuletea mifano ya tuzo za wanasiasa na honorary academic awards. Ndiyo maana nikasema yawezekana bado hujaielewa vyema mantiki ya uzi. Otherwise umeanza 'kupoliticise' huu mjadala aidha kwa makusudi ama kwa uzembe wa fikra.
-Kaveli-
nimekuletea hoja ya ambaye hakukaa darasani akafua umeme na kusambaza kwa wanakijiji, rais JPM akamuona akamkaribisha Ikulu lakini hakupewa kamisheni ya taifa alipewa zawadi ya kunywa chai na pesa, jiulize kwanini?
nikasisitiza zaidi ya mara kibao kuanzia post yangu ya kwanza tufanyeje kwa kuwa nchi yenu/yetu sote na kabla ya yote tusome sheria iliyopo kwanza alafu tujue tunacho kitaka kipo kwa mujibu wa sheria za nchi au tunaomba kwa hisani ya... ikimpendeza?
Je kama hakuna sheria basi tuombe itungwe sheria au twende kwa hisani? au tuendlee kualikwa ikulu watu wa kawaida kupiga picha na kunywa chai?
au zianzishwe tuzo kama za wasanii kwa ajiri ya mnao wataka?
sina cha kuongeza... tuendelee kupiga zumari kama hujui unacho kitaka na namna ya kukitafuta, watanzania tuna maisha yetu na ndio yanaonekana ktk maisha ya wengi kuanzia kuandika, kuongea, anavyoishi nk upatishida kumtambua mtanzania...
NB:
et mganga wa kienyeji ni mtu wa kawaida, usiyo yajua ktk nchi/taifa yatakusumbua sana na utaendelea kuitawenzio wa kaiwaida au kujifananisha nao wakati sio kweli...
Tuendelee kuondoa umbumbu ktk vichwa vyetu... kingereza chako kizuri sana na kikusaidie kupitia ile sheria na sharia mbalimbali za nchi ili ukiwa unachangia usichangie kama mtu usiyejua unacho andika...
Nchi inaongozwa kwa miongozo, kanuni, taratibu na sheria mbalimbali...
una ambiwa soma hutaki soma hutaki... soma sheria na taratibu hutaki una angaika watu wakawaida, hao unao waita wakawaida wanapewaje nguvu na sheria? sheria ina watambua au imewasahau? tufanyeje kama hawa onekani popote, wewe una ruka tu wakawaida, unaishia hapo hapo wakawaida...
wenzako hawa hapa... walalamishi wenzio wasio taka kusoma hata nusu ya mstali wa maandishi yaliyo andikwa kwa ajiri ya mustakhabari wa taifa lao, lakini ni wa kwanza kupiga kelele kwa kuhisi wanafahamu yote na wakiambiwa wapitie miongozo hawataki kazi kubisha, sishangai ndio watanzania rahisi kuwatambua
Ila ana point, acheni ushabiki, ikiwa kila Rais akija anafanya yake, au anaacha ya mtangulizi wake na kufanya mengine mapya, ni hatari sana, sbb kuna mambo ni uti wa mgongo wa nchi, sasa ukikuta labda haijakamilika na kuiacha njiani, ni kukosa mipango ya maendeleo endelevu Kama Jiwe aliacha...
Ndgu
Kijakazi aliwahi kusema jambo... nami nikasema jambo kuongezea kuwa "mtanzania anaeleweka" hakupi shida kumtambua