Leo nimeona ni jambo jema kwa Rais wetu kutoa/medal kwa watu wanaoenda extra mile kuigusa/hudumia jamii...
Criteria ..awe nayo yeye mwenyewe...
Nimesukumwa kuandika mada hii baada ya kusoma habari hii ya Mganga wa Kienyeji kujenga madarasa mawili huko Simiyu>>>>>>>> madarasa mawili aliyojenga mganga
Nahisi kila mwananchi akifanya kitu chake kidogo tutafika mbali kama nchi na sio kulalamika kila siku....
Rebecca, you are always bright. Huwa siruki kusoma threads zako ma'am.
Back to topic... yep umeongea vyema na naunga mkono hoja. That's what we call ''give it back to community".
Wanao fanya tangible impacts (voluntarily) kwa jamii, wakipewa tuzo itawamotivate wengi zaidi to do the same... just to supplement to the government responsibilities.
Lakini bado serikali ndiyo yenye jukumu forefront kuihudumia jamii. It sounds vogue hadi leo hii miaka 60 ya Uhuru still kuna vijiji havina madarasa ya watoto kusomea, achilia mbali issues zingine kama maji, health services, etc.
Nadhani, wananchi wanakuwa walalamishi sana kwa serikali kwa sababu the government machinery ni kama imelala usingizi wa pono hivi kwa kulewa excessive 'bata' na kuwasahau wananchi.
Naona nchi nyingi za kiafrika tuna matatizo common yanayosababishwa na Embezzlement & corruption; low supervision on public funds; zero accountability; na uvivu.
Nitakupa mfano hai... among other issues, the current 'CAG report 2022' portrays that Halmashauri ya Manispaa Temeke ililipa Tsh 2.16 Billion kwa walipwaji hewa kwenye fidia za masuala ya ardhi. Yaani kwa lugha rahisi: TSH 2.16 B imepigwa!
Rebecca, katika mazingira hayo mfano, mwananchi wa Temeke ambaye mtaa wake hauna huduma ya maji, ama kata yake ina uhaba wa madarasa watoto wanasomea chini ya miti kwa kukalia mawe, mwananchi huyu anaachaje kuilalamikia serikali?
Medali zipo na zina tolewa kwa watu tofauti bila kujali utaifa... muhimu ni kama upo ndani ya vigezo husika...
hii nchi ni yenu/yetu fatilieni mambo mtaelewa vyema kabla ya kuandika ili uje kuandika kitu bora ulichokifanyia kazi na sio kuamka na kuandika
na swala hili sio kwa tanzania pekee ni mataifa mengi yanafanya... sahau kuhusu paka wa malkia aliyetunukiwa juzi... sahau mbwa aliyetunukiwa...
twende mbali tuchimbue madesa alafu ndio tuje tuandike mambo yenye uzito kwa kina au tuje tumpigie chapua apewe...
walio ifanyia makubwa nchi hii ni wengi, wapo walio enziwa kwa uzalendo toka enzi na enzi kwa kupewa medali kizazi chao kinacho ishi leo ila babu zao walio pambana na madhalimu hawapo huku medali wakipokea wajukuu... madarasa waliojenga ni wengi sio yeye peke yake, wapo waliojenga mahosp, waliosafirisha wagongwa na kulipia gharama kwa kufanya kama sehemu ya maisha yao...
nazaani nataka uelewe hizi tuzo zipo karibu duniani kote, zina elekezwa kwa watu mbalimbali... kama PhD ya heshima... machifu kibao wamepewa kwa nyakati tofauti...
kasome sheria inayo ruhusu swala hilo kufanyika ili uelewe zaidi... naona kwako nigeni, kikwete alipokuwa madarakani amezitoa hizi tuzo/medali kwa watu mbalimbali...
nika sema kwa wenzetu wana wapa mpaka panya, achilia mbali wakina magawa...
Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye amemtunuku medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi. Chanzo: ForeignTanzania Sisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya M Kikwete ana...
Saudi Arabia sio nchi ambayo rais wa Marekani aghlabu anaikusudia katika ziara yake ya nje ya kwanza. Lakini Trump amefanya ni kituo chake cha kwanza katika ziara yake ya kwanza nchi za nje.
Naandika hapa kwa msikitiko makubwa sana kuona jinsi gani viongozi wa taifa hili waliolipigania taifa hili kutothaminiwa na badala yake viongozi wahuni, wababaishaji na wenye kujali maslahi yao ndo wanapewa kipaumbele katika hili taifa. Nasema haya baada ya kuangalia orodha ya nishani katika...
Huyu ni Dr. Salm A. Salm... China wamempa tuzo/kamisheni kwa juhudi zake ktk kulipigania/kulitetea taifa hilo... unaweza jionea mwenyewe hapo chini... Tanzania pia walimpa Kamisheni/Tuzo na mataifa mengine kibao kwa kazi aliyoifanya
nazani ni kukuonesha sio jambo jipya kwa mifano ambayo hukutaka kuizingatia... Sokoine amepewa Nishani akiwa hayupo, Lowasa nazni kama sikosei, Dr. Salim kapewa mara mbili mwaka 1985 na 2000s... machifu wamepewa wengi sana muulize maleale wa wachaga na Balozi kagasheki aliyepewa kwa niaba ya babu yake
kwa faida yako nikakutaka ukapitie sheria inayompa mamlaka ya kufanya hivyo mh. rais, pia kuonesha sio jambo geni nika kuandikia kuwa kikwete alizitoa nyingi tu...
na kwa kumalizia nikakupa mifano ya mataifa mengine ulimwenguni jinsi yanavyofanya ili jambo na nika kuonesha wakiwapo raia wa tanzania walio nufaika...
ebu changanya akili kidogo dada yangu... pitia pitia mambo utaelewa...

Mnhhh wewe unaongelea viongozi kupewa tuzo, sijaona uki mention mtu wa kawaida aliyeisaidia jamii yake akapewa tuzo na Rais, tena nimekua specific na Rais wa serikali iliyopo?!......................Nahisi tutabishana tu for the sake of kubishana, Kikwete kama alitoa je haiwezekani kumkumbusha hili jambo Rais aliyepo? ..ama kufanyika mataifa mengine ndio kunaondoa uzito wa hii topic...???
Wewe unaleta habari za tuzo kwa watu ambao ni 'public figure'. Hujaielewa thread.
Mleta mada anamaanisha tuzo kwa watu ordinary kabisa at the grassroot level ambao wanajitolea (kwa gharama binafsi) kufanya interventions zenye extraordinary impact kwenye jamii zao.

mwisho kwa msisitizo kasome sheria usika, tuache uvivu na kulopoka hovyo... tulopoke tukiwa tuna elewa tunacho lopoka...
au tuwalilie wawakirishi wa wananchi mjengoni watutungie sheria ya tunayo yataka ili kumlazimisha rais atende kwa mujibu wa sheria na isiwe hisani yake atakapo jisikia...
tuzo zipo nyingi sana, endeleeni na uvivu na kujitoa ufahamu... na mkiweka hoja zenu katika mantiki nzuri mtaeleweka ila mkipayuka kama mmekatwa vichwa hamta eleweka...
Mnhhh wewe unaongelea viongozi kupewa tuzo, sijaona uki mention mtu wa kawaida aliyeisaidia jamii yake akapewa tuzo na Rais, tena nimekua specific na Rais wa serikali iliyopo?!......................Nahisi tutabishana tu for the sake of kubishana, Kikwete kama alitoa je haiwezekani kumkumbusha hili jambo Rais aliyepo? ..ama kufanyika mataifa mengine ndio kunaondoa uzito wa hii topic...???
kasome sheria husika... kasome nishani kwa madaraja yake zina tolewa kwa sababu gani na vigezo gani kwa mujibu wa sheria iliyopo...
kama mnataka zawadi hata ya kupiga picha na rais au kuitwa ikulu kunywa chai ni sawa, hapo utakuwa umeeleweka...
kama nishani za nchi (taifa) ambazo zina madaraja yake, hizi zina taratibu zake... sasa hapa ubishi unatokea wapi ktk kujua taratibu za nishani au kushikana mkono na rais...
kuna mdau alitengeneza umeme wake na kusambaza ktk vijiji vinavyo mzunguka kama una kumbuka (kipindi cha JPM) akapelekewa wataalamu na pesa juu... zawadi za hivi zipo nyingi za kunywa chai na rais au kutembelea familia, watu ktk jamii fulani
linapo kuja swala la nishani kuna utaratibu wake... mkiambiwa tafuta miongozo hamtaki mmekaa kulalama
mwisho kwa msisitizo kasome sheria usika, tuache uvivu na kulopoka hovyo... tulopoke tukiwa tuna elewa tunacho lopoka...
au tuwalilie wawakirishi wa wananchi mjengoni watutungie sheria ya tunayo yataka ili kumlazimisha rais atende kwa mujibu wa sheria na isiwe hisani yake atakapo jisikia...
tuzo zipo nyingi sana, endeleeni na uvivu na kujitoa ufahamu... na mkiweka hoja zenu katika mantiki nzuri mtaeleweka ila mkipayuka kama mmekatwa vichwa hamta eleweka...
Narudia kusema tena: mifano yako hiyo ni irrelevant kwenye uzi huu.
Mleta mada amelenga tuzo kwa ordinary people wanaofanya tangible interventions za kijamii at the grassroot. Akatuhabarisha na kisa halisi cha 'mganga wa kienyeji' kujenga madarasa mawili ya shule Simiyu. Yaani mganga wa kienyeji kijijini huko anajitolea binafsi kugharamia ujenzi wa madarasa mawili kwenye shule ya umma! Doesn't this touch you? Can't you internalise that?
Mleta mada amejiposition kwenye kisa hicho ili kujenga hoja yake.
Wewe unakomaa kutuletea mifano ya tuzo za wanasiasa na honorary academic awards. Ndiyo maana nikasema yawezekana bado hujaielewa vyema mantiki ya uzi. Otherwise umeanza 'kupoliticise' huu mjadala aidha kwa makusudi ama kwa uzembe wa fikra.

nimekuletea hoja ya ambaye hakukaa darasani akafua umeme na kusambaza kwa wanakijiji, rais JPM akamuona akamkaribisha Ikulu lakini hakupewa kamisheni ya taifa alipewa zawadi ya kunywa chai na pesa, jiulize kwanini?
nikasisitiza zaidi ya mara kibao kuanzia post yangu ya kwanza tufanyeje kwa kuwa nchi yenu/yetu sote na kabla ya yote tusome sheria iliyopo kwanza alafu tujue tunacho kitaka kipo kwa mujibu wa sheria za nchi au tunaomba kwa hisani ya... ikimpendeza?
Je kama hakuna sheria basi tuombe itungwe sheria au twende kwa hisani? au tuendlee kualikwa ikulu watu wa kawaida kupiga picha na kunywa chai?
au zianzishwe tuzo kama za wasanii kwa ajiri ya mnao wataka?
sina cha kuongeza... tuendelee kupiga zumari kama hujui unacho kitaka na namna ya kukitafuta, watanzania tuna maisha yetu na ndio yanaonekana ktk maisha ya wengi kuanzia kuandika, kuongea, anavyoishi nk upatishida kumtambua mtanzania...
NB:
et mganga wa kienyeji ni mtu wa kawaida, usiyo yajua ktk nchi/taifa yatakusumbua sana na utaendelea kuitawenzio wa kaiwaida au kujifananisha nao wakati sio kweli...
Tuendelee kuondoa umbumbu ktk vichwa vyetu... kingereza chako kizuri sana na kikusaidie kupitia ile sheria na sharia mbalimbali za nchi ili ukiwa unachangia usichangie kama mtu usiyejua unacho andika...
Nchi inaongozwa kwa miongozo, kanuni, taratibu na sheria mbalimbali...
una ambiwa soma hutaki soma hutaki... soma sheria na taratibu hutaki una angaika watu wakawaida, hao unao waita wakawaida wanapewaje nguvu na sheria? sheria ina watambua au imewasahau? tufanyeje kama hawa onekani popote, wewe una ruka tu wakawaida, unaishia hapo hapo wakawaida...
wenzako hawa hapa... walalamishi wenzio wasio taka kusoma hata nusu ya mstali wa maandishi yaliyo andikwa kwa ajiri ya mustakhabari wa taifa lao, lakini ni wa kwanza kupiga kelele kwa kuhisi wanafahamu yote na wakiambiwa wapitie miongozo hawataki kazi kubisha, sishangai ndio watanzania rahisi kuwatambua
Ila ana point, acheni ushabiki, ikiwa kila Rais akija anafanya yake, au anaacha ya mtangulizi wake na kufanya mengine mapya, ni hatari sana, sbb kuna mambo ni uti wa mgongo wa nchi, sasa ukikuta labda haijakamilika na kuiacha njiani, ni kukosa mipango ya maendeleo endelevu Kama Jiwe aliacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.