Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Tunakuja kaka NdegeTukumbukeni na watu wa Lindi mtwara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakuja kaka NdegeTukumbukeni na watu wa Lindi mtwara
Determinantor atuambie huu mto Pangani ukiwa Kilimanjaro kupitia Mwanga, Same Hedaru kabla ya lufoka Tanga unaitwa je?Huu Mto Pangani ni Mto Ruvu unaotokea Kilimanjaro.
Kisarawe imetengwa sana kuanzia utawala wa kwanza, wa pili hadi huu wa 6.Njia fupi kabisa kulifikia bwawa la Nyerere na Hifadhi ya Nyerere ni kupitia Kisarawe lakini karibu miaka 30 barabara hiyo ujenzi wake haujafika hata kilometa 30 kutoka Pugu Kajiungeni ambapo kuna mpaka wa Ilala na Kisarawe.
Huu ni ubaguzi wa waziwazi kwa watu Kisarawe kwa sababu hakuna barabara nyingine yoyote yenye lami wilaya nzima zaidi ya hiyo.
Nadhani unaitwa Ruvu.Determinantor atuambie huu mto Pangani ukiwa Kilimanjaro kupitia Mwanga, Same Hedaru kabla ya lufoka Tanga unaitwa je?
Acha tuDaraja la Magufuri busisi kilometer 3 ujenzi wake ni bilion 99 halafu hili daraja la pangan urefu wake Miter 500 gharama yake bilion 107
Endeleen kutupiga
Asante kwa kutusemea. Hawa viongozi wetu wametusahau sanaTukumbukeni na watu wa Lindi mtwara
Siyo kweli kwamba gharama za daraja la busisi ni billion 99.Daraja la Magufuri busisi kilometer 3 ujenzi wake ni bilion 99 halafu hili daraja la pangan urefu wake Miter 500 gharama yake bilion 107
Endeleen kutupiga
Beira Boy utarudi kweli mkuu?.Siyo kweli kwamba gharama za daraja la busisi ni billion 99.
December 7th, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 07 Desemba, 2019 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi lenye urefu wa kilometa 3.2 na upana wa mita 28.45 litakalounganisha mawasiliano ya barabara kati ya Mikoa ya Mwanza na Geita kukatisha Ziwa Victoria.
Sherehe za uwekaji jiwe la msingi zimefanyika katika eneo la Kigongo, Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza na kuhudhuriwa na wananchi na viongozi mbalimbali wakiwemo Spika wa Bunge Mhe. Job Yustino Ndugai, Mawaziri na Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu, viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Wakuu wa Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera, Wabunge, viongozi wa taasisi mbalimbali, viongozi wa Dini na viongozi wa vyama vya siasa.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema ujenzi wa daraja hilo pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66 umepangwa kukamilika mwezi Julai 2023 kwa gharama ya jumla ya shilingi Bilioni 699, fedha zote zinatolewa na Serikali ya Tanzania.
Daraja la Magufuri busisi kilometer 3 ujenzi wake ni bilion 99 halafu hili daraja la pangan urefu wake Miter 500 gharama yake bilion 107
Endeleen kutupiga
Afadhali umemuumbua huyo mnafiki na hater asiyemithilika. Kuna watu wanaopata tabu sana awamu hii........wanatakani mambo yasiende lkn wapi, ndo kwanza yanasonga.Siyo kweli kwamba gharama za daraja la busisi ni billion 99.