Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Rais wa Marekani, Joe Biden ameliomba Bunge la Marekani kuidhinisha msaada wa ziada wa dola bilioni 33 kwa lengo la kuisaidia Ukraine wakati huu inapokabiliwa na uvamizi wa Urusi.

Rais Biden amesema kuwa lengo sio kuishambulia Urusi bali kuisaidia Ukraine, ambapo msaada huo unahusisha dola bilioni 20 za msaada wa kijeshi na dola bilioni 8.5 kusaidia uchumi na dola bilioni 3 za msaada wa kibinadamu.

Kiwango hicho ni mara mbili zaidi ya dola bilioni 13.6 zilizopitishwa na Bunge hilo ambazo tayari zimetumiwa kwa kusafirisha shehena za silaha kwa Ukraine katika wiki za hivi karibuni.

Source: BBC

===
Biden proposes $33bn to help Ukraine in war

President Biden is asking Congress for $33bn (£27bn) in military, economic and humanitarian assistance to support Ukraine - although he insisted that the US was not "attacking Russia".

Mr Biden said it was "critical" for US lawmakers to approve the deal, which he said would help Ukraine defend itself.

The proposal includes more than $20bn in military aid, $8.5bn in economic aid and $3bn in humanitarian aid.

"It's not cheap," Mr Biden said on Thursday.

"But caving to aggression is going to be more costly if we allow it to happen."

Although the US has already announced help for Ukraine, the proposals are a significant ramping up of aid.

President Biden said US military support to Ukraine has so far amounted to 10 anti-tank weapons for every tank that Russia has deployed to Ukraine.

But despite his strong rhetoric, he said the US was not attacking Russia. "We are helping Ukraine defend itself against Russian aggression," he insisted.

On Thursday, a spokesperson for Russia's Foreign Ministry said Western military support for Ukraine threatens "the security of the continent".

President Biden is asking Congress to authorise an enormous sum of money for Ukraine - more than twice as much as the US has already spent on providing military equipment and humanitarian aid.

The US president wants to show he is undeterred by vague threats about the possible use of nuclear weapons, and a warning from Vladimir Putin that there could be retaliatory strikes against countries that intervene in Ukraine.

He shrugged off those comments - saying they show the desperation Russia is feeling about their abject failure to do what they set out to do.

Explaining to Americans why this money is needed - at a time when many are suffering from rising living costs - he said it was not cheap, but doing nothing was more costly.

An additional plan to allow US authorities to not just freeze but liquidate the assets of Russian oligarchs is bold - and it has raised concerns among civil liberties groups in America. But it is likely to gain bipartisan support in Congress.

Yet it will not begin to cover cost of the additional sums of money the White House wants to spend supporting Ukraine's war efforts.
 
huu ndo utofauti wa USA na Urusi , Urusi nchi inaburuzwa na mtu mmoja , so anaeza hata amua mkewe awe vice president

Umeiona public opinion hapo?? Au unafikiri hii ni movie ya Chuck Norris?? Kwani vitu vya Tz kama tozo vilipitishwa na mahakama au bunge km huko kwa wenzetu??
 
.... halafu kuna majinga yanasifia mifumo ya aina hii - Russia, China, na kinara wao NK!
Kijana nakuomba usije ukaiweka china level moja na urus,marekani na nchi yoyote ile hapa duniania katika eneo la uongozi china ipo kwenye system ya pekee hapa duniani hakuna nchi yenye kuifanya hivo. CHINA KAWAACHA MBALI WENZAKE TENA SANA TU KWENYE UONGOZI WA NCHI.

NOTE: KWA SYSTEM YA UONGOZI WA CHINA MARAIS WENGI WA MAREKANI WASINGE CHAGULIWA KWA SABABU HAWAJUI NINI MAANA YA UONGOZI.Mfano Biden,Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... sasa ndio shughuli ya kikubwa imeanza. Kwa mfanano wa mpambano wa heavyweight, siku 60 zilizopita ilikuwa mipambano ya utangulizi. Mabondia wa ukweli wako vyumbani wanajiandaa; muda wowote watapanda ulingoni.
Mfano nitajie Rais yeyote wa Sasa duniani mwenye kumfika Rais Xi Jinping wa China kwenye uongozi ? hakuna kijirais yeyote mwenye kumfikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano nitajie Rais yeyote wa Sasa duniani mwenye kumfika Rais Xi Jinping wa China kwenye uongozi ? hakuna kijirais yeyote mwenye kumfikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Xi kafanya kipi cha kustahili kusifiwa wakati yeye ni miongoni mwa watawala wasio amini ktk uhuru wa watu anaowatawala.

Basically, Xi is nothing but a dictator destined to rule China all the way to his demise. Xi ni bure kabisa.
 
... wanadai ndiye baba wa uchumi wa China; kaipaisha China kiuchumi na sasa ni among the super powers. So, wameamua kumzawadia urais wa maisha.
 
Sasa tayari rasmi NATO, German na Us wameingia rasmi Ukraine kuoambana na Russia
 
.... halafu kuna majinga yanasifia mifumo ya aina hii - Russia, China, na kinara wao NK!
Ukisoma historia utaelewa kwanini hao mataifa yanafanya hivyo...
North Korea ilikuwa bombed na US to the ground kwa miaka miwili, alipiga mabomu majengo, miundo mbinu, mabwawa ya umeme, mashamba ya chakula ili wafe kwa njaa na kila alichoona kinatambaa ardhini. Inakadiliwa walikufa 30% ya raia wote kwa kipindi hicho. Je, North Korea alikuwa kamfanya kitu gani US?
Vietnam je?
Cambodia je? Mpaka leo effect za vita Cambodia zipo.
Unasema China, wachina wamekwambia wana shida na mfumo wao? Actually, survey hata zilizofanywa na mashirika ya nje zinaonyesha wachina wanaikubali serikali yao kuliko hata hizo nchi unazosema za Kidemokrasia.
Hizo nchi unazoita za Kidemokrasia ni janja janja tu. Mfano U.K, mtu anaweza kuwa chochote lakini hawezi kuwa mfalme wala Malkia mpaka atoke royal family. Na malkia mara kadhaa amepitisha sheria za kumfavor yeye na familia yake. Hadi sasa anataka kupitisha sheria mali zake ziwekwe hadharani. Ni demokrasia eh?
Hizo nchi zote uanzozitaja, hazivamia maaifa mengine ukiilinganisha na US
 
Embu waambie hawa wanafikiri kila nchi lazima iendeshw Kama U.S

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom