Rais Biden amsihi sana Netanyau asishambulie vinu vya nyuklia vya iran

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran

Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa
======

Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback​

Remains of a ballistic missile lying in the desert, near Israel’s southern city of Arad on Wednesday following an attack from Iran.

US President Joe Biden on Wednesday said Israel should not strike Iranian nuclear sites in a retaliation for an Iranian missile attack the previous day, saying a response must be proportional.

Asked by reporters if the Jewish state should hit at the disputed nuclear program after Iran's greatest-ever attack on its soil, Biden said, "no".

An international consensus among world powers in the G7 group was that retaliation was warranted but should be limited, he added.

“All seven of us agree that they have a right to respond, but they have to respond proportionally
 
Akithubutu kupiga ameharibu, Inasadikika Iran anazo tayari missiles capable of carrying nuclear ambapo hatasita kuzitumia kwa Israel.
Hizi zikifika katika anga la Israel hata zikitunguliwa bado zina impact mbaya katika ardhi ya mayahudi
 
Iran akitumia hizo nyukilia na Israel akazitumia , huoni kama Utani inaweza kufutwa? Ukiona Biden anasema hivi kwamba amemuomba Netanyahu asipige vinu vya Nyuklia vya Iran tena publically ujue amekubali na tena ametoa ndege na makombora na ulinzi, na ukiona Israel inachelewa ujue inafanya mipango , kukagua na kuweka tayari silaha za nyuklia endapo Iran itatumia silaha hizo.
 
Hivi Iran tayari anazo hizo nuclear?
 
Una akili sana. Ni kweli Biden anazuga tu ili madhara yatakayotokea asionekane naye ni muhusika mkuu. Lakini kiuhalisia mipango yote ni yake na hata vifaa na manpower.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran

Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa
======

Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback​

Remains of a ballistic missile lying in the desert, near Israel’s southern city of Arad on Wednesday following an attack from Iran.
Remains of a ballistic missile lying in the desert, near Israel’s southern city of Arad on Wednesday following an attack from Iran.
US President Joe Biden on Wednesday said Israel should not strike Iranian nuclear sites in a retaliation for an Iranian missile attack the previous day, saying a response must be proportional.

Asked by reporters if the Jewish state should hit at the disputed nuclear program after Iran's greatest-ever attack on its soil, Biden said, "no".

An international consensus among world powers in the G7 group was that retaliation was warranted but should be limited, he added.

“All seven of us agree that they have a right to respond, but they have to respond proportionally
Maana yake ni kwamba military bases na viwanda vya silaha vimewekwa kwenye target. Hivyo vinu vya nyuklia vitapigwa tu pia.

Do not trust western hata nukta moja
 
Tunaposema Iran ni tishio iwe inaeleweka hivyo maana mmejionea wenyewe ili Israel alipe kisasi imehitaji kikao cha mataifa saba kukubaliana.

Halafu kuna kunguni inasema Israel ana nguvu wakati maamuzi hawezi kufanya mwenyewe hadi bwana zake wakae vikao kuijadili Iran na athari zitakazojitokeza baada ya kisasi.
 
G7 wote wamekaa kikao kuisaidia Israel kilipa kisasi wakati mwanaume mmoja tu Iran ameshusha vyuma direct bila kikao na taifa lolote.

Bado utasikia makondoo ya bwana yanasema Iran hana nguvu yoyote.

Unadhani Israel ingeshambuliwa na Syria ungeona vikao vya namna hii? Tukubaliane Iran ni tishio sio kwa mashariki ya kati pekee bali EU yote.
 
Tunaposema Iran ni tishio iwe inaeleweka hivyo maana mmejionea wenyewe ili Israel alipe kisasi imehitaji kikao cha mataifa saba kukubaliana.

Halafu kuna kunguni inasema Israel ana nguvu wakati maamuzi hawezi kufanya mwenyewe hadi bwana zake wakae vikao kuijadili Iran na athari zitakazojitokeza baada ya kisasi.
Unamaanisha nini kwamba mashambulizi yote yanayofanywa na Israel kwa Hama's, Hezbollah na maeneo mengine yanabaraka ya umoja wa mataifa isipokuwa Iran peke yake ndiowanaojiamlia wenyewe kushambulia popote wanapotaka bila kuwa na baraka za umoja wa mataifa?.
 
Wenye akili wanaingalia dunia na matokeo yatakuwaje usifikili wanakaa vikao vya alikasusu
 
Wadau hamjamboni nyote?

Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran

Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa
======

Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback​

Remains of a ballistic missile lying in the desert, near Israel’s southern city of Arad on Wednesday following an attack from Iran.
Remains of a ballistic missile lying in the desert, near Israel’s southern city of Arad on Wednesday following an attack from Iran.
US President Joe Biden on Wednesday said Israel should not strike Iranian nuclear sites in a retaliation for an Iranian missile attack the previous day, saying a response must be proportional.

Asked by reporters if the Jewish state should hit at the disputed nuclear program after Iran's greatest-ever attack on its soil, Biden said, "no".

An international consensus among world powers in the G7 group was that retaliation was warranted but should be limited, he added.

“All seven of us agree that they have a right to respond, but they have to respond proportionally
Maana yake ni kwamba military bases na viwanda vya silaha vimewekwa kwenye target. Hivyo vinu vya nyuklia vitapigwa tu pia.

Do not trust western hata nukta moja
 
Unamaanisha nini kwamba mashambulizi yote yanayofanywa na Israel kwa Hama's, Hezbollah na maeneo mengine yanabaraka ya umoja wa mataifa isipokuwa Iran peke yake ndiowanaojiamlia wenyewe kushambulia popote wanapotaka bila kuwa na baraka za umoja wa mataifa?.
Kote ulipopataja ni silaha hadi manpower anatoa Marekani na mataifa ya Ulaya kumsaidia Israel.

Mbona hili lipo wazi kabisa ni maelekezo kutoka Marekani nini Israel afanye. Intelligence yenyewe wakati Iran anamshambulia Israel mara zote ni Marekani ndiyo anamshtua Israel kwamba atashambuliwa muda fulani.

Na Marekani amekuwa akipeleka mifumo ya ulinzi kusaidiana na Iron dome kuzuia makombora ya Iran yasilete madhara lakini vyuma vinapiga targets kama kawa na hiki ndicho kinachowaumiza vichwa Marekani, Israel na Ulaya.

Fuatilia chambuzi mbalimbali kwenye vyombo vya habari vya kimataifa ndicho wanachokizungumzia.
 
Back
Top Bottom