unyakuo wa watakatifu wa duniani kwenda mbinguni( rapture of the world)utatokea kabla ya hizo silaha nzito za nyuklia za siri za iran kutumika(iran ina silaha nzito sana za nyuklia ambazo zikitumika ni kama zitaangamiza watu wengi sana.Kwa ufunuo wa kiroho Yesu amewafunulia baadhi ya watu na amewaonyesha kupitia ulimwengu wa roho hizo silaha za siri za nyulkia za iran na hatari zaidi ila kwa kuwq yule azuiaye zisitumike neema yake bado ipo neema ya Yesu kristo ,amesema hataruhusu zitumike ikiwa watakatifu bado angali duniani ili wasipatwe na hayo madhara.Ni baada ya Yesu kuwanyakua watakatifu wake ndiponzitatumika.HITIMISHO unyakuo umekaribia sana kwa wale waamini wasafiri wenzangu tunaosafiri kwenda mbinguni safari imeiva,tusafishe mavazi yetu yawe meupe ,tujisafishe,tuwe tayari kwa safari ya kwenda mbinguni.maana baada ya unyakuo watakao achwa duniani itaingia katika DHIKI KUU.Mungu atusaidie watu wa Mungu hayo mabaya yasitupate.