Rais Biden amsihi sana Netanyau asishambulie vinu vya nyuklia vya iran

Rais Biden amsihi sana Netanyau asishambulie vinu vya nyuklia vya iran

Akithubutu kupiga ameharibu, Inasadikika Iran anazo tayari missiles capable of carrying nuclear ambapo hatasita kuzitumia kwa Israel.
Hizi zikifika katika anga la Israel hata zikitunguliwa bado zina impact mbaya katika ardhi ya mayahudi
Yeye anasadikika halafu mwenzie anazo tiari za kutosha
 
Muajem na myaudi lao moja sema waarabu hawajui hili
 
Iran inadai kuharibu idadi ya ndege za kivita za Israel za F-35 katika kituo cha anga cha Nevatim.

Mkuu wa majeshi ya Iran, Mohammad Bagheri, aliiambia Press TV kwamba kambi ya anga ya Nevatim, kituo cha kijeshi cha Netzarim na kitengo cha kijasusi cha Tel Nof, vilipigwa katika shambulio la Jumanne usiku lililopewa jina la 'Operation True Promise II'.

Katika taarifa ya mtandao wa airlive.net inasema, Makombora ya Walinzi wa Mapinduzi ya Iran yalilenga vyema vituo vitatu vya kijeshi vya Israel, kwa matumizi ya kwanza ya makombora ya 'hypersonic' ya Fatah.

Iran imelenga vituo vitatu vya anga vya Israel vikiwemo,

Nevatim Air Base, kituo cha kuhifadhi ndege za F-35 na kitovu kikuu cha kuagiza bidhaa za kijeshi.
Netzarim Air Base, ambapo ndege za F-15 zimewekwa pamoja na Tel Nof Air Base, iliyoko karibu na Tel Aviv.
Iran pia ilidai kugonga kituo cha anga cha Tel Nof kusini mwa Tel Aviv ambapo walisema "idadi kubwa ya vifaru vya Israeli" viliharibiwa.

Hata hivyo taarifa hizo zinakanushwa mtandaoni kuwa hakuna ushahidi wa makombora ya Iran kuharibu ndege hizo licha ya wanahabari wengi wa nje kuzuiwa kuingia maeneo ya Israel.

Taarifa zaidi;

Asante Iran Asante Kwa Kutuheshimisha Tunaelewa fika kujibu hawawezi Time Will Tell. ALLAHU AKBAR

Aziz_Nasirzadeh_in_2024_(1)_(cropped_out_MEHR_news_agency_watermark).jpg
 
Maana yake ni kwamba military bases na viwanda vya silaha vimewekwa kwenye target. Hivyo vinu vya nyuklia vitapigwa tu pia.

Do not trust western hata nukta moja

Watu wanashindwa kujua marekani, israel and Europe allies they are one and the same Marekan leo kesho anamtafutia ayatollah timing. Wanataka waweke puppet pale kama ilivyo iraq na Libya..

So chochote watakachokisema public ni kumislead.. israel na washirika wake wanapanga pa kupiga na kias gan wa inflict demage, Israel akipiga iran iran akirusha any nuclear warhead.. Europe nzima na marekan watamshukia rasmi kwa kigezo kuwa ame violate international rules kuwa nuclear itumike kwenye kuzalisha enery tu..

Yaan Iran anazid kujaa kwenye mfumo wao taratibu.. njia pekee ya kumuokoa akishakaa kwenye mfumo wao ni ikiwa Russia, na China, waingilie kati kijeshi kumuokoa.. kama Russia alivyofanya wa Syria.

Nje ya hapo hakuna taifa litasimama na Iran akishukiwa na Europe na US
 
Iran akitumia hizo nyukilia na Israel akazitumia , huoni kama Utani inaweza kufutwa? Ukiona Biden anasema hivi kwamba amemuomba Netanyahu asipige vinu vya Nyuklia vya Iran tena publically ujue amekubali na tena ametoa ndege na makombora na ulinzi, na ukiona Israel inachelewa ujue inafanya mipango , kukagua na kuweka tayari silaha za nyuklia endapo Iran itatumia silaha hizo.
Myahudi wa Buza unajua mipango ya kina Nyetah
 
Wapunguze maneno watifuane tuone
Wadau hamjamboni nyote?

Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran

Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa
======

Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback​

Remains of a ballistic missile lying in the desert, near Israel’s southern city of Arad on Wednesday following an attack from Iran.
Remains of a ballistic missile lying in the desert, near Israel’s southern city of Arad on Wednesday following an attack from Iran.
US President Joe Biden on Wednesday said Israel should not strike Iranian nuclear sites in a retaliation for an Iranian missile attack the previous day, saying a response must be proportional.

Asked by reporters if the Jewish state should hit at the disputed nuclear program after Iran's greatest-ever attack on its soil, Biden said, "no".

An international consensus among world powers in the G7 group was that retaliation was warranted but should be limited, he added.

“All seven of us agree that they have a right to respond, but they have to respond proportionally
 
U
Hivi wamarekani halisi ni watu gani hasa?maana yake inaonekana Marekani ni nchi ilioshehene watu kutoka mataifa mbalimbali ni taifa ambalo halina mwenyewe kihalisia.

Kwa hiyo unaweza ukasema kuwa Marekani inaisaidia Israel kumbe ni waisrael walewale wanasaidiana kwa kuzuga kuwa ni wamarekani,kwa sababu pia inasemekana kuwa watalamu wengi wa mambo ya kitekinolojia duniani ni waisrael.
meisha sema inasemekana na kiukweli iyo propaganda ya technology Israel imeupiga mwingi 😁 🤣 maana ndio hoja kuu ya waisrael wa mbagala chalambe
 
Hata kama wangekuwa wanajitegemea Israel kuvishambulia vinu vya nyukilia vya Iran ni kurisk, chuki yako dhidi ya waisilam isikutie upofu.
Israel hana chuki na waislam maana Kuna waisrael wengi tu ni waislam bali anachuki na wapumbavu sasa kama waislamu wamo kwenye kundi la wapumbavu hiyo unasema wewe.
 
Tunaposema Iran ni tishio iwe inaeleweka hivyo maana mmejionea wenyewe ili Israel alipe kisasi imehitaji kikao cha mataifa saba kukubaliana.

Halafu kuna kunguni inasema Israel ana nguvu wakati maamuzi hawezi kufanya mwenyewe hadi bwana zake wakae vikao kuijadili Iran na yanaathari zitakazojitokeza baada ya kisasi.
Tumia jicho la uchambuzi siyo mahaba, zipo sababu nyingi za kukaa kikao G7 mojawapo ni masirahi mapana ya kiuchumi, mataifa mengi ya magharibi yanategemea sana middle east. Hivyo kushambulia vinu vya nuclear ni kusababisha vurugu KUBWA the whole of middle east.
 
Watu wanashindwa kujua marekani, israel and Europe allies they are one and the same Marekan leo kesho anamtafutia ayatollah timing. Wanataka waweke puppet pale kama ilivyo iraq na Libya..

So chochote watakachokisema public ni kumislead.. israel na washirika wake wanapanga pa kupiga na kias gan wa inflict demage, Israel akipiga iran iran akirusha any nuclear warhead.. Europe nzima na marekan watamshukia rasmi kwa kigezo kuwa ame violate international rules kuwa nuclear itumike kwenye kuzalisha enery tu..

Yaan Iran anazid kujaa kwenye mfumo wao taratibu.. njia pekee ya kumuokoa akishakaa kwenye mfumo wao ni ikiwa Russia, na China, waingilie kati kijeshi kumuokoa.. kama Russia alivyofanya wa Syria.

Nje ya hapo hakuna taifa litasimama na Iran akishukiwa na Europe na US
Umenyoosha ukweli bila ushabiki
 
Ww umeona umandika kitu cha maana sana au akili yako ndo imeishia hapo
 
Unamaanisha nini kwamba mashambulizi yote yanayofanywa na Israel kwa Hama's, Hezbollah na maeneo mengine yanabaraka ya umoja wa mataifa isipokuwa Iran peke yake ndiowanaojiamlia wenyewe kushambulia popote wanapotaka bila kuwa na baraka za umoja wa mataifa?.
Ametoa maelezo ya Iran.
Kwa mujibu wake Israel ili iishambulie Iran hadi ikae vikao na wakubwa,ila Syria,Palestina anajibutulia tu.
Hivyo hii inaonesha Iran ni tishio kubwa sio sawa na Syria au Palestina.
 
Back
Top Bottom