Rais Biden amsihi sana Netanyau asishambulie vinu vya nyuklia vya iran

Naku baliana mkuu hiyo Ina maanisha twanga sio usitwange
 
Madaktari wako kwenye kikao kwa ajili ya mama mjamzito ambaye mimba yake iko complicated..sasa hapo unadhan tishio hilo lina madhara kwa nani, mgonjwa au matabibu? Myahudi mdio tiba ya ugaidi, so before the theatre, it is wise to discuss the surgical procedures
 
😂😂 Hiyo surgical procedure kwa Iran tu siyo?

Kubali tu Iran ndiye mbabe wa mabeberu wote akiwamo Israel anayedekadeka kwa mabwana zake asaidiwe.
 
😂😂 Hiyo surgical procedure kwa Iran tu siyo?

Kubali tu Iran ndiye mbabe wa mabeberu wote akiwamo Israel anayedekadeka kwa mabwana zake asaidiwe.
Si ndio baba la magaidi?
Fikiria kwanza, kabla hata Iran hajarusha makombora,

- netanyahu akiwaonya na kuwashauri raia wa iran

- biden akatoa tahadhar kuwa makombora yatarushwa

Sasa mbona mnashindwa kuielewa hii pattern ya hiki kitu kitakachofuata soon??
 
Israel akiendelea kumtegemea marekani kwenye mambo yake atafeli pakubwa sana
Asipo mtegemea nani atampa silaha ambazo zina mfanya kuwa na kiburi hapo mashariki ya kati?
Hivi Israel akivishambulia vinu vya nyukilia vya Iran unategemea vyinu vya nyukilia vya Israel vitakuwa salama? Na unajua ni maelfu ya watu wangapi watakufa pande zote iwapo mionzi ya Nyukilia itakapo vuja maada ya mashambulizi hayo?
Baden hajasema maneno hayo kwa sababu anaionea huruma Iran bali kasema hivyo kuitatharisha Israel juu ya maafa yatakayo sababishwa na hatua hiyo.
 
Naomba sana hilo litokee halafu tuone kitakachofuata...Naomba yaani
 
Ifike mahali watengeneze za kwao wenyewe hii vita ikiisha watajifunza vitu vingi sana ikiwemo hilo la silaha.
 
Biden hajui ndoto ya netanyahu imetimia, ndoto ya netanyahu maisha yake yote ni kuanzisha vita ya USA na Iran sasa imeishatimia.

Netanyahu ni mpumbavu na mbaguzi anaependa vita, israel itaharibiwa vibaya Sana, wakijitusu kwa iran.
 
Yani wewe hata ujui unaongea nini ! Kuna tofsuti ya kutumia silaha za nyuklia na vinu vya nuclea ..kama Israel atapiga vinu vya iran basi irani naye atapiga vinu vya Israel...madhara kwa Israel yatakuwa makuba mara,1000 ya irani kwa sababu eneo la Israel ni dogo hivyo mionzi ya hatari ya vinu vyake kuathiri nchi karibu yoteya israel ...kumbuka ukubwa wa nchi ya iran ni mara mbili ya tanzania ni nchi kubwa sana
 
Yaan jamaa wamesema akirudia tu kwa uharibifu ..wowote Iran itapeleka shock wave ya makombora kule televive..hii ndo kauli ambayo Netanyahu anaielewa
 
Just like always, we all know how it will end.

Amesaidiwa na Marekani.

But that doesn't change the fact, it will end in tears.
 
Ifike mahali watengeneze za kwao wenyewe hii vita ikiisha watajifunza vitu vingi sana ikiwemo hilo la silaha.
Hata kama wangekuwa wanajitegemea Israel kuvishambulia vinu vya nyukilia vya Iran ni kurisk, chuki yako dhidi ya waisilam isikutie upofu.
 
Ww unadhani watu wanafanya mambo kwa mihemko?
Baden hajasema hivyo kwa sababu ya kuionea huruma Iran bali anaonya matokeo ya mashambulizi hayo.
Yapigwe ma Iran mpaka yakome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…