Rais Biden amsihi sana Netanyau asishambulie vinu vya nyuklia vya iran

Akithubutu kupiga ameharibu, Inasadikika Iran anazo tayari missiles capable of carrying nuclear ambapo hatasita kuzitumia kwa Israel.
Hizi zikifika katika anga la Israel hata zikitunguliwa bado zina impact mbaya katika ardhi ya mayahudi
Yeye anasadikika halafu mwenzie anazo tiari za kutosha
 
Muajem na myaudi lao moja sema waarabu hawajui hili
 
Iran inadai kuharibu idadi ya ndege za kivita za Israel za F-35 katika kituo cha anga cha Nevatim.

Mkuu wa majeshi ya Iran, Mohammad Bagheri, aliiambia Press TV kwamba kambi ya anga ya Nevatim, kituo cha kijeshi cha Netzarim na kitengo cha kijasusi cha Tel Nof, vilipigwa katika shambulio la Jumanne usiku lililopewa jina la 'Operation True Promise II'.

Katika taarifa ya mtandao wa airlive.net inasema, Makombora ya Walinzi wa Mapinduzi ya Iran yalilenga vyema vituo vitatu vya kijeshi vya Israel, kwa matumizi ya kwanza ya makombora ya 'hypersonic' ya Fatah.

Iran imelenga vituo vitatu vya anga vya Israel vikiwemo,

Nevatim Air Base, kituo cha kuhifadhi ndege za F-35 na kitovu kikuu cha kuagiza bidhaa za kijeshi.
Netzarim Air Base, ambapo ndege za F-15 zimewekwa pamoja na Tel Nof Air Base, iliyoko karibu na Tel Aviv.
Iran pia ilidai kugonga kituo cha anga cha Tel Nof kusini mwa Tel Aviv ambapo walisema "idadi kubwa ya vifaru vya Israeli" viliharibiwa.

Hata hivyo taarifa hizo zinakanushwa mtandaoni kuwa hakuna ushahidi wa makombora ya Iran kuharibu ndege hizo licha ya wanahabari wengi wa nje kuzuiwa kuingia maeneo ya Israel.

Taarifa zaidi;

Asante Iran Asante Kwa Kutuheshimisha Tunaelewa fika kujibu hawawezi Time Will Tell. ALLAHU AKBAR

 
Maana yake ni kwamba military bases na viwanda vya silaha vimewekwa kwenye target. Hivyo vinu vya nyuklia vitapigwa tu pia.

Do not trust western hata nukta moja

Watu wanashindwa kujua marekani, israel and Europe allies they are one and the same Marekan leo kesho anamtafutia ayatollah timing. Wanataka waweke puppet pale kama ilivyo iraq na Libya..

So chochote watakachokisema public ni kumislead.. israel na washirika wake wanapanga pa kupiga na kias gan wa inflict demage, Israel akipiga iran iran akirusha any nuclear warhead.. Europe nzima na marekan watamshukia rasmi kwa kigezo kuwa ame violate international rules kuwa nuclear itumike kwenye kuzalisha enery tu..

Yaan Iran anazid kujaa kwenye mfumo wao taratibu.. njia pekee ya kumuokoa akishakaa kwenye mfumo wao ni ikiwa Russia, na China, waingilie kati kijeshi kumuokoa.. kama Russia alivyofanya wa Syria.

Nje ya hapo hakuna taifa litasimama na Iran akishukiwa na Europe na US
 
Myahudi wa Buza unajua mipango ya kina Nyetah
 
Wapunguze maneno watifuane tuone
 
U
meisha sema inasemekana na kiukweli iyo propaganda ya technology Israel imeupiga mwingi 😁 🤣 maana ndio hoja kuu ya waisrael wa mbagala chalambe
 
Hata kama wangekuwa wanajitegemea Israel kuvishambulia vinu vya nyukilia vya Iran ni kurisk, chuki yako dhidi ya waisilam isikutie upofu.
Israel hana chuki na waislam maana Kuna waisrael wengi tu ni waislam bali anachuki na wapumbavu sasa kama waislamu wamo kwenye kundi la wapumbavu hiyo unasema wewe.
 
Tumia jicho la uchambuzi siyo mahaba, zipo sababu nyingi za kukaa kikao G7 mojawapo ni masirahi mapana ya kiuchumi, mataifa mengi ya magharibi yanategemea sana middle east. Hivyo kushambulia vinu vya nuclear ni kusababisha vurugu KUBWA the whole of middle east.
 
Umenyoosha ukweli bila ushabiki
 
Ww umeona umandika kitu cha maana sana au akili yako ndo imeishia hapo
 
Ametoa maelezo ya Iran.
Kwa mujibu wake Israel ili iishambulie Iran hadi ikae vikao na wakubwa,ila Syria,Palestina anajibutulia tu.
Hivyo hii inaonesha Iran ni tishio kubwa sio sawa na Syria au Palestina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…