Rais Biden ashauriwa kutogombea uraisi wa Marekani, sababu analiaibisha na kulivua nguo taifa lake

Niaje waungwana,

Kusema ukweli kwa hali aliyofikia raisi wa Marekani mhe. Joe Biden, ni vizuri akashauriwa au akajishauri mwenyewe kuacha kugombea uraisi wa Marekani ili apate muda wa kwenda kupumzika nyumbani kwake na wajukuu zake. Ikiwa ataruhusiwa kuendelea kugombea na pengine akashinda, basi nitaamini kuwa Marekani ni nchi inayoweza kuongozwa hata na Chid Benz kikubwa tu awe mzawa na mwenye ushawishi.

Haiwezekani nchi yenye uchumi mkubwa, teknolojia kubwa na vyombo vyenye ueledi mkubwa wa kijeshi, kiuchumi, kielimu na kiintelejensia waongozwe na mtu ambae husahau jambo kila baada ya dakika 3 au 5 kupita. Inasemekana hufikia mahali hadi ya kuwasahau mawaziri wake mwenyewe. Waziri wake wa mambo ya nje anamwita Obama na muda mungine akikutana na Obama anamwita Clinton.

Juzi alikuwa katika mkutano wa G7 na viongozi wenzake. Wakati wakiwa wamesimama wakiangalia askari wa miamvuli wanavyoshuka kutoka juu, ghafla yeye (Biden) akawatoka wenzake na kuelekea upande ambao haueleweki. Baada ya mkewe kuona hali hiyo ikabidi amuwahi kwenda kumshtua kwamba huko unapoelekea ni kichakani (ni bustan yenye majani marefu mithili ya kichaka) akamuonesha walipo wenzake, ndo akarudi tena pale alipokuwa amesimama na kuendelea na sherehe yao.

Hiyo tisa, kumi na pale alipofanya kituko kingine katika ikulu ya white house. Wakati walipokuwa wanasherekea yeye na viongozi waandamizi wa ikulu, yeye akawa anatoa machoni mithili ya mtoto anaejaribu kufuatilia kitu asichokijua. Ghafla akataka kuwachomoka ili aelekee anapopajua yeye ndo watu wa karibu wakamtuliza, huku yeye akionesha wazi kusahau kinachofanyika pale 😂😂😂

Hizo picha 3 za juu ni za mkutano wa G7 jinsi alivyowatoka na jinsi mkewe alivyomrudisha katika kundi. Na hizo picha 2 za nchini na jinsi alivyotoa macho kuangalia asichokielewa na pia akitaka kuwatoka watu waliokuwepo katika sherehe hizo.

Nina imani kwa haya anayoyafanya Biden kama yangefanywa na raisi wa nchi yoyote ya Afrika, basi raisi huyo angeandamwa na vyombo vyote vya kimataifa. Ni kama alivyodhalilishwa raisi wa Sudan kwa kuambiwa kuwa kajikojolea hadharan nk.

View attachment 3019615View attachment 3019616View attachment 3019617View attachment 3019618View attachment 3019620
Inamaana ww una akili kubwa kuliko wamarekani wenyewe?
 
Nani wamemshauri?
Hakuna aliemshauri.

Lengo nilikuwa nataka niandike ASHAURIWE lakn kwa bahati mbaya nikaandika ASHAURI, baadae nikagundua kosa langu, nikawaomba mods wanadili waandike ASHAURIWE kwa bahati mbaya na wao tena wakasahau wakaandika ASHAURIWA.

So maana nzima imebadilika na mimi nikaamua niache hivyo hivyo ilivyoandikwa na mods.

Soma comment yang namb 7 utaona.
 
Wazee tuyaache ya huko unyamwezini wenyewe wapambane nayo turudi kupambana na ya kwetu umakondeni.
 
FBI na CIA huwa wanapita sana ktk mitandao ya kijamii duniani ili kujua kama kuna hatari yoyote inayopangwa mitandaoni dhidi ya taifa lao na masilahi yao.

So hao hao watamfikishia tu babu ujumbe. Japo itabidi wamkumbushe kumbushe kila wakati kutokana na tatizo la kusahau sahau.
Kajamaa.kaongonwewe
Kwa hiyo hii pia wanaifatilia et hahahahah
 
Kwani unafikiri ni kwanini Marekani huwapa watu wa mataifa mbali mbali ikiwemo Tanzania uraia na kisha kuwatumia katika vitengo mbali mbali vya serikali?

Wewe unaweza kuandika kiswahili chako ukafikiri mzungu hatojua ulichoandika, lakin haujui kuwa kuna mtanzania mwenzako alieenda Marekani akapewa uraia wa huko na kupewa kazi katika kitengo fulan na huyo ndio atakaetafsiri ulichoandika kwa maboss zake wazungu, kisha hao wazungu wakiona kuwa ulichoandika kina hatarisha usalama wa taifa lao wataangalia njia ya kudhibiti. Lakin wakiona ni maneno ya kawaida watapotezea maisha yaendelee.
 
Niaje waungwana,

Kusema ukweli kwa hali aliyofikia raisi wa Marekani mhe. Joe Biden, ni vizuri akashauriwa au akajishauri mwenyewe kuacha kugombea uraisi wa Marekani ili apate muda wa kwenda kupumzika nyumbani kwake na wajukuu zake. Ikiwa ataruhusiwa kuendelea kugombea na pengine akashinda, basi nitaamini kuwa Marekani ni nchi inayoweza kuongozwa hata na Chid Benz kikubwa tu awe mzawa na mwenye ushawishi.

Haiwezekani nchi yenye uchumi mkubwa, teknolojia kubwa na vyombo vyenye ueledi mkubwa wa kijeshi, kiuchumi, kielimu na kiintelejensia waongozwe na mtu ambae husahau jambo kila baada ya dakika 3 au 5 kupita. Inasemekana hufikia mahali hadi ya kuwasahau mawaziri wake mwenyewe. Waziri wake wa mambo ya nje anamwita Obama na muda mungine akikutana na Obama anamwita Clinton.

Juzi alikuwa katika mkutano wa G7 na viongozi wenzake. Wakati wakiwa wamesimama wakiangalia askari wa miamvuli wanavyoshuka kutoka juu, ghafla yeye (Biden) akawatoka wenzake na kuelekea upande ambao haueleweki. Baada ya mkewe kuona hali hiyo ikabidi amuwahi kwenda kumshtua kwamba huko unapoelekea ni kichakani (ni bustan yenye majani marefu mithili ya kichaka) akamuonesha walipo wenzake, ndo akarudi tena pale alipokuwa amesimama na kuendelea na sherehe yao.

Hiyo tisa, kumi na pale alipofanya kituko kingine katika ikulu ya white house. Wakati walipokuwa wanasherekea yeye na viongozi waandamizi wa ikulu, yeye akawa anatoa machoni mithili ya mtoto anaejaribu kufuatilia kitu asichokijua. Ghafla akataka kuwachomoka ili aelekee anapopajua yeye ndo watu wa karibu wakamtuliza, huku yeye akionesha wazi kusahau kinachofanyika pale 😂😂😂

Hizo picha 3 za juu ni za mkutano wa G7 jinsi alivyowatoka na jinsi mkewe alivyomrudisha katika kundi. Na hizo picha 2 za nchini na jinsi alivyotoa macho kuangalia asichokielewa na pia akitaka kuwatoka watu waliokuwepo katika sherehe hizo.

Nina imani kwa haya anayoyafanya Biden kama yangefanywa na raisi wa nchi yoyote ya Afrika, basi raisi huyo angeandamwa na vyombo vyote vya kimataifa. Ni kama alivyodhalilishwa raisi wa Sudan kwa kuambiwa kuwa kajikojolea hadharan nk.

View attachment 3019615View attachment 3019616View attachment 3019617View attachment 3019618View attachment 3019620
Shina la uovu wote duniani.
Marais wote wanaomuunga mkono bideni na serikali yake wapumzike.
Trump ni JPM wa Dunia.
Alisababisha nchi za Afrika na Asia zianze kujitambua kwa kujiletea maendeleo zenyeweg
 
Naunga mkono ulichoandika mkuu 👍
 
Niaje waungwana,

Kusema ukweli kwa hali aliyofikia raisi wa Marekani mhe. Joe Biden, ni vizuri akashauriwa au akajishauri mwenyewe kuacha kugombea uraisi wa Marekani ili apate muda wa kwenda kupumzika nyumbani kwake na wajukuu zake. Ikiwa ataruhusiwa kuendelea kugombea na pengine akashinda, basi nitaamini kuwa Marekani ni nchi inayoweza kuongozwa hata na Chid Benz kikubwa tu awe mzawa na mwenye ushawishi.

Haiwezekani nchi yenye uchumi mkubwa, teknolojia kubwa na vyombo vyenye ueledi mkubwa wa kijeshi, kiuchumi, kielimu na kiintelejensia waongozwe na mtu ambae husahau jambo kila baada ya dakika 3 au 5 kupita. Inasemekana hufikia mahali hadi ya kuwasahau mawaziri wake mwenyewe. Waziri wake wa mambo ya nje anamwita Obama na muda mungine akikutana na Obama anamwita Clinton.

Juzi alikuwa katika mkutano wa G7 na viongozi wenzake. Wakati wakiwa wamesimama wakiangalia askari wa miamvuli wanavyoshuka kutoka juu, ghafla yeye (Biden) akawatoka wenzake na kuelekea upande ambao haueleweki. Baada ya mkewe kuona hali hiyo ikabidi amuwahi kwenda kumshtua kwamba huko unapoelekea ni kichakani (ni bustan yenye majani marefu mithili ya kichaka) akamuonesha walipo wenzake, ndo akarudi tena pale alipokuwa amesimama na kuendelea na sherehe yao.

Hiyo tisa, kumi na pale alipofanya kituko kingine katika ikulu ya white house. Wakati walipokuwa wanasherekea yeye na viongozi waandamizi wa ikulu, yeye akawa anatoa machoni mithili ya mtoto anaejaribu kufuatilia kitu asichokijua. Ghafla akataka kuwachomoka ili aelekee anapopajua yeye ndo watu wa karibu wakamtuliza, huku yeye akionesha wazi kusahau kinachofanyika pale 😂😂😂

Hizo picha 3 za juu ni za mkutano wa G7 jinsi alivyowatoka na jinsi mkewe alivyomrudisha katika kundi. Na hizo picha 2 za nchini na jinsi alivyotoa macho kuangalia asichokielewa na pia akitaka kuwatoka watu waliokuwepo katika sherehe hizo.

Nina imani kwa haya anayoyafanya Biden kama yangefanywa na raisi wa nchi yoyote ya Afrika, basi raisi huyo angeandamwa na vyombo vyote vya kimataifa. Ni kama alivyodhalilishwa raisi wa Sudan kwa kuambiwa kuwa kajikojolea hadharan nk.

View attachment 3019615View attachment 3019616View attachment 3019617View attachment 3019618View attachment 3019620
Vijana hawakuwepo wakati anagombea? Na umri wake mkubwa bado Wamarekani waliona ndiye Rais anayewafaa. Wamvumilie tu.
 
Umri hausimami. Wakati anagombea umri wake ulikuwa chini ya huu alionao today. Alaf kingine afya yake imezorota sana, ni tofauti ni miaka mi4 au mi5 alipokuwa makamu wa raisi.

Nina imani afya yake na matendo yake ya sasa yatatumiwa na Trump kutafutia kura. Na nina imani wengi watampa kwa sababu hizi mbili na nyingine ambazo hatukuzitaja hapa.

Kibabu wakikipa mi4 mingine, kuna siku watakikuta kimekaukia ndani ya ofisi.
 
Umewasikia Wamarekani wenyewe wakilalamika kuhusu umri wa Biden? By the way, Trump mdogo kiumri? Ahahahahaha!!!
 
Niaje waungwana,

Kusema ukweli kwa hali aliyofikia raisi wa Marekani mhe. Joe Biden, ni vizuri akashauriwa au akajishauri mwenyewe kuacha kugombea uraisi wa Marekani ili apate muda wa kwenda kupumzika nyumbani kwake na wajukuu zake. Ikiwa ataruhusiwa kuendelea kugombea na pengine akashinda, basi nitaamini kuwa Marekani ni nchi inayoweza kuongozwa hata na Chid Benz kikubwa tu awe mzawa na mwenye ushawishi.

Haiwezekani nchi yenye uchumi mkubwa, teknolojia kubwa na vyombo vyenye ueledi mkubwa wa kijeshi, kiuchumi, kielimu na kiintelejensia waongozwe na mtu ambae husahau jambo kila baada ya dakika 3 au 5 kupita. Inasemekana hufikia mahali hadi ya kuwasahau mawaziri wake mwenyewe. Waziri wake wa mambo ya nje anamwita Obama na muda mungine akikutana na Obama anamwita Clinton.

Juzi alikuwa katika mkutano wa G7 na viongozi wenzake. Wakati wakiwa wamesimama wakiangalia askari wa miamvuli wanavyoshuka kutoka juu, ghafla yeye (Biden) akawatoka wenzake na kuelekea upande ambao haueleweki. Baada ya mkewe kuona hali hiyo ikabidi amuwahi kwenda kumshtua kwamba huko unapoelekea ni kichakani (ni bustan yenye majani marefu mithili ya kichaka) akamuonesha walipo wenzake, ndo akarudi tena pale alipokuwa amesimama na kuendelea na sherehe yao.

Hiyo tisa, kumi na pale alipofanya kituko kingine katika ikulu ya white house. Wakati walipokuwa wanasherekea yeye na viongozi waandamizi wa ikulu, yeye akawa anatoa machoni mithili ya mtoto anaejaribu kufuatilia kitu asichokijua. Ghafla akataka kuwachomoka ili aelekee anapopajua yeye ndo watu wa karibu wakamtuliza, huku yeye akionesha wazi kusahau kinachofanyika pale 😂😂😂

Hizo picha 3 za juu ni za mkutano wa G7 jinsi alivyowatoka na jinsi mkewe alivyomrudisha katika kundi. Na hizo picha 2 za nchini na jinsi alivyotoa macho kuangalia asichokielewa na pia akitaka kuwatoka watu waliokuwepo katika sherehe hizo.

Nina imani kwa haya anayoyafanya Biden kama yangefanywa na raisi wa nchi yoyote ya Afrika, basi raisi huyo angeandamwa na vyombo vyote vya kimataifa. Ni kama alivyodhalilishwa raisi wa Sudan kwa kuambiwa kuwa kajikojolea hadharan nk.

View attachment 3019615View attachment 3019616View attachment 3019617View attachment 3019618View attachment 3019620
Chombo gan cha habar kimeandika huu uhalo uliondika wewe?
 
Back
Top Bottom