maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,415
- 3,213
Tutaendelea kumkabia juu USA 🇺🇸 na NATO wenzake mpaka mwisho,kwa niaba ya Pro Russia nasema hivi hili deal tutalichukua,ikiwa ngumu tutakula wote na wakikaza fuvu bora tukose wote ma....maeee😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Theme: Never ever under any circumstances meet, greet or support Putin. If you've any problems in your countries, America is both capable and willing more than ever to help resolve them appreciably.
Tanzania nani katuwakilisha?04 December 2024
Benguela, Angola
Hotuba za viongozi waliohudhuria uzinduzi wa mradi wa reli ya Lobito Corridor -,ukanda wa Lobito
View: https://m.youtube.com/watch?v=WFqqL12jS0YHotuba zote za viongozi kutoka nchi mwenyeji Angola na wabia kutoka Democratic Republic of the Congo (DRC), Tanzania, Zambia na Joe Biden wa Marekani.
Source : The White House
Huu uzi ulifutwa naona wameurejesha
No Free Lunch in a capitalist worldTheme: Never ever under any circumstances meet, greet or support Putin. If you've any problems in your countries, America is both capable and willing more than ever to help resolve them appreciably.
Tanzania tumewakilishwa na naniWakati ni uzi muhimu, na vyanzo vya uhakika lakini pengine moderator JF usiku wa manane akashindwa kuwasiliana kwa wakati na mkuu wa protokali Ikulu hadi alipopatikana kuthibitisha safari ya kiongozi wa Tanzania kwenda Angola , uzi ukarudishwa.
not only Putin but also Xi JinpingTheme: Never ever under any circumstances meet, greet or support Putin. If you've any problems in your countries, America is both capable and willing more than ever to help resolve them appreciably.
Makamu wa Rais.T
Tanzania tumewakilishwa na nani
No Free Lunch in a capitalist world
Nimemuona Dr.mpangoTanzania nani katuwakilisha?
Never Ever.Mungu ifanye Tz nayo iwe kubwa ili siku Rais wetu akifanya ziara Mexico awaite na marais wa Marekani, Canada na Jamaica wafike kukutana naye Mexico.
Why. To Almighty God , every thing is PossibleNever Ever.
Waangola wawe makini sana na hao Wamarekani yasije yakarudia yale ya Savimbi. Hao wamarekani ndio walikuwa wanaididimiza Angola baada ya kupata uhuru miaka ya 70s kupitia Savimbi lakini baada ya kuuawa Savimbi Angola iliendelea sana kwa kutumia rasilimari zao. Wawe makini wasije wakarudi tena enzi za Savimbi. Wamarekani ni mashetani wakubwa!!02 December 2024
Washington DC na Luanda Angola
ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE
View attachment 3168434
Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya mradi wa reli kutoka Lobito, Angola utakaopita DR Congo, Zambia hadi Bahari ya Hindi Tanzania
Katika ziara ya Rais Joseph R. Biden nchini Angola, tunasherehekea mabadiliko na kuimarisha uhusiano wa Marekani na Angola. Safari hii ni ziara ya kwanza kuwahi kufanywa na rais aliyeko madarakani wa Marekani katika Jamhuri ya Angola, na ni ziara ya kwanza ya rais wa Marekani katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara tangu 2015.
Ziara hii inakuja baada ya mkutano wa Novemba 2023, wakati Rais Biden. alimkaribisha Rais João Lourenço katika Ofisi ya Oval huko Washington, DC Katika muda kabla na tangu hapo, wenzao wa Marekani na Angola wamefanya kazi kwa karibu ili kuendeleza maono ya Marais wote wawili ili kupanua mguso wa fursa za hali ya juu za kiuchumi na kuboresha usalama wa kimataifa na kikanda.
Kwa pamoja, Marekani na Angola zinatambua maovu ya zamani ya utumwa na urithi wake, huku tukitazamia mustakabali mzuri wa kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya mataifa yetu.
Leo, 03 December 2024 Rais Biden na Rais Lourenço watakutana mjini Luanda katika Ikulu ya Rais kujadili biashara, uwekezaji na miundombinu; usalama na utulivu; na kuimarisha ushirikiano kati ya Marekani na Angola.
Kesho, 04 December 2024 Rais Biden atakwenda Lobito, Angola kwa Mkutano wa Kilele kuhusu uwekezaji wa miundombinu katika eneo hilo na viongozi kutoka Angola, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Tanzania na Zambia. Taarifa kuhusu kuendelea na mipango mipya ya ushirikiano kati ya Marekani na Angola imetolewa hapa chini.
Chanzo : Ikulu ya Marekani / Whitehouse
Nashukuru TZ wamepeleka Makamo wa Rais.Mungu ifanye Tz nayo iwe kubwa ili siku Rais wetu akifanya ziara Mexico awaite na marais wa Marekani, Canada na Jamaica wafike kukutana naye Mexico.
Alifikiri tutapeleka Rais kwenye maongezi yake. Akome!