Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia

Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia

Kwa hiyo reli hii ikikamolika tutegemee PK kudondoshwa ama????? Maana utegemezi wake kwa USA kupora madini ya CONGO DR utakuwa umekwisha.
 
Ziara za mabeberu Huwa zenye manufaa Kwa Nchi zao.Tofauti na viongozi wa afrika wao wakienda ubeberuni ni kuomba msaada lakini mabeberu yakija Huku ni uwekezaji tu
 
Waangola wawe makini sana na hao Wamarekani yasije yakarudia yale ya Savimbi. Hao wamarekani ndio walikuwa wanaididimiza Angola baada ya kupata uhuru miaka ya 70s kupitia Savimbi lakini baada ya kuuawa Savimbi Angola iliendelea sana kwa kutumia rasilimari zao. Wawe makini wasije wakarudi tena enzi za Savimbi. Wamarekani ni mashetani wakubwa!!
1733393275138.jpeg
 
Back
Top Bottom