Waangola wawe makini sana na hao Wamarekani yasije yakarudia yale ya Savimbi. Hao wamarekani ndio walikuwa wanaididimiza Angola baada ya kupata uhuru miaka ya 70s kupitia Savimbi lakini baada ya kuuawa Savimbi Angola iliendelea sana kwa kutumia rasilimari zao. Wawe makini wasije wakarudi tena enzi za Savimbi. Wamarekani ni mashetani wakubwa!!