Rais Biden, kwa Afrika anza na Rais Magufuli na Mwinyi wa Zanzibar

Endelea na upigaji ramli wako wa kishetani. Nitajie "gays" watatu na "lesbians" watatu walio nnje ya CCM nami nitakuonyesha wewe ni nani.
Macho malegevu
 

Attachments

  • tapatalk_1580648593600.jpg
    54.6 KB · Views: 1
  • tapatalk_1580648577830.jpg
    38.6 KB · Views: 1
yaani Biden aache kushughulikia uchumi wao unao poromoka aanze kuwaza hizi nyumbu ulizoandika hapa.
 
Demokrasia wakati Twitter imefungiwa Tanzania kwa sababu tu ya mtu mmoja kigogo
na aliye fungia Twitter ya Trump yeye ana Demokrasia. Tumia akili zako vizuri, usizifanye akili zako kuwa tegemezi kwa akili za wenzako.
 

Marekani ya Trump ilikuwa tofauti na ya Obama. Biden anahangaika kuirudisha ile ya Obama. Aanze na Tanzania kwani wao hawana yanayowasibu?
 
Wewe wa wapi wewe? Apinge mitandao kumpiga pini huyo chizi aliyechochea watu wafanye vurugu kwani na yeye ni muumini wa political violence?
Ukiona watu wanafanya vurugu ujue wana sababu..wanataka watendewe haki..bado alitakiwa apinge kitendo cha trump kufungwa mdomo..ni uhalifu dhidi ya demokrasia.
 
Nonsense

What language will be used??
 
Alipokuwa anaongea na wafanyakazi wake sasa
Jamaa hatanii mambo ya kujimwambafai kwisha
 
Mpigie simu umwambie hayo. Humu FJ hasomi!
 
Kitengo kipo wapi kukamata huyu mchochezi?
 
Sasa hivi wako kimya wanasubiri list waone nani yumo nani hayumo, USA hawajajua tu siku wakigundua kuwa viongozi wa Tanzania mara nyingi safari zao muhimu ni India nafikiri watabadilisha mwelekeo wa vikwazo..
 
Yaani Biden usicheke na kima, Tanzania tumeshuhudia vyombo vya ulinzi na usalama vilivyokuwa vikiua watu hadharani mtaani.
Tumejionea kwa macho udanganyifu mkubwa na wizi wa kura.

Deogratias Mutungi Tanzania nzima hamna Mhaya wa hovyo kama wewe.
huoni wivu tu hao waliouwawani lini wameuwawa unaushahidi wa kutosha kuelezea upuuzi uliouandika hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…