residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Exactly. Waafrika wanaofanya maigizo ya chaguzi wakae tayari kushughulikiwa. Biden ni "reflection" ya B. Obama.Na Biden ana mtazamo kama huu.View attachment 1682431
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly. Waafrika wanaofanya maigizo ya chaguzi wakae tayari kushughulikiwa. Biden ni "reflection" ya B. Obama.Na Biden ana mtazamo kama huu.View attachment 1682431
Macho malegevuEndelea na upigaji ramli wako wa kishetani. Nitajie "gays" watatu na "lesbians" watatu walio nnje ya CCM nami nitakuonyesha wewe ni nani.
yaani Biden aache kushughulikia uchumi wao unao poromoka aanze kuwaza hizi nyumbu ulizoandika hapa.Salaam JF,
Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji kwa Wananchi wake na taasisi zake.
Kwasababu kinachofanyika Canada na Tanzania ni sawa, Aidha misimamo ya Sasa ya JPM na uwajibikaji wake kiuchumi na kifursa kwa Wananchi wake.
Pia uwezo wa Rais mpya wa Zanzibar Dkt. Mwinyi anayeonesha alama ya uwajibikaki na Mapinduzi mapya katika ustawi wa amani uchumi, nashauri na kuomba iwe sababu muhimu ya Ubalozi wa Marekani Tanzania kuyatambulisha yote haya kwa Biden ili mazungumzo yanayofata yawe kati ya Rais Biden na viongozi wetu hawa Wazalendo.
Kwa Afrika Tanzania ni kituo kikuu cha Amani na uwajibikaji, tunayo Demokrasia na mihimili inayojitegemea ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika.
Aidha historia ipo wazi kati yetu na Marekani, Kwa Mantiki hiyo Tanzania ipewe kipaumbele zaidi katika mawasiliano ya awali na Rais Biden kwa manufaa ya nchi na Africa kwa ujumla kiuchumi, Kisiasa na kijamii nina imani ili litatimia hivi karibuni.
na aliye fungia Twitter ya Trump yeye ana Demokrasia. Tumia akili zako vizuri, usizifanye akili zako kuwa tegemezi kwa akili za wenzako.Demokrasia wakati Twitter imefungiwa Tanzania kwa sababu tu ya mtu mmoja kigogo
Salaam JF,
Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji kwa Wananchi wake na taasisi zake.
Kwasababu kinachofanyika Canada na Tanzania ni sawa, Aidha misimamo ya Sasa ya JPM na uwajibikaji wake kiuchumi na kifursa kwa Wananchi wake.
Pia uwezo wa Rais mpya wa Zanzibar Dkt. Mwinyi anayeonesha alama ya uwajibikaki na Mapinduzi mapya katika ustawi wa amani uchumi, nashauri na kuomba iwe sababu muhimu ya Ubalozi wa Marekani Tanzania kuyatambulisha yote haya kwa Biden ili mazungumzo yanayofata yawe kati ya Rais Biden na viongozi wetu hawa Wazalendo.
Kwa Afrika Tanzania ni kituo kikuu cha Amani na uwajibikaji, tunayo Demokrasia na mihimili inayojitegemea ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika.
Aidha historia ipo wazi kati yetu na Marekani, Kwa Mantiki hiyo Tanzania ipewe kipaumbele zaidi katika mawasiliano ya awali na Rais Biden kwa manufaa ya nchi na Africa kwa ujumla kiuchumi, Kisiasa na kijamii nina imani ili litatimia hivi karibuni.
Ukiona watu wanafanya vurugu ujue wana sababu..wanataka watendewe haki..bado alitakiwa apinge kitendo cha trump kufungwa mdomo..ni uhalifu dhidi ya demokrasia.Wewe wa wapi wewe? Apinge mitandao kumpiga pini huyo chizi aliyechochea watu wafanye vurugu kwani na yeye ni muumini wa political violence?
NonsenseSalaam JF,
Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji kwa Wananchi wake na taasisi zake.
Kwasababu kinachofanyika Canada na Tanzania ni sawa, Aidha misimamo ya Sasa ya JPM na uwajibikaji wake kiuchumi na kifursa kwa Wananchi wake.
Pia uwezo wa Rais mpya wa Zanzibar Dkt. Mwinyi anayeonesha alama ya uwajibikaki na Mapinduzi mapya katika ustawi wa amani uchumi, nashauri na kuomba iwe sababu muhimu ya Ubalozi wa Marekani Tanzania kuyatambulisha yote haya kwa Biden ili mazungumzo yanayofata yawe kati ya Rais Biden na viongozi wetu hawa Wazalendo.
Kwa Afrika Tanzania ni kituo kikuu cha Amani na uwajibikaji, tunayo Demokrasia na mihimili inayojitegemea ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika.
Aidha historia ipo wazi kati yetu na Marekani, Kwa Mantiki hiyo Tanzania ipewe kipaumbele zaidi katika mawasiliano ya awali na Rais Biden kwa manufaa ya nchi na Africa kwa ujumla kiuchumi, Kisiasa na kijamii nina imani ili litatimia hivi karibuni.
Mpigie simu umwambie hayo. Humu FJ hasomi!Salaam JF,

We ni kiazi kweli yaani.na aliye fungia Twitter ya Trump yeye ana Demokrasia. Tumia akili zako vizuri, usizifanye akili zako kuwa tegemezi kwa akili za wenzako.
Kualalumpa wanashindana kuwafunga wapinzani ili wasake teuzi.Trump anao uhuru wa kwenda mahakamani kupinga matokeo lakini kule Kwalalumpa hawana uwezo huo.
Kwalalumpa hata Jaji akisema jogoo ameshinda urair inabidi wote mkubali kuwa jogoo ndiye rais wenu.Kualalumpa wanashindana kuwafunga wapinzani ili wasake teuzi.
Tumbo na wasiojulikana ni kikwazo cha Utawala wa SheriaKwalalumpa hata Jaji akisema jogoo ameshinda urair inabidi wote mkubali kuwa jogoo ndiye rais wenu.
Huwezi endelea bila waoDuh leo tena tunataka Urafiki na Mabeberu?
Wanaepusha gharama za kuhudumia wakimbizi afrika.yaani Biden aache kushughulikia uchumi wao unao poromoka aanze kuwaza hizi nyumbu ulizoandika hapa.
Kitengo kipo wapi kukamata huyu mchochezi?Salaam JF,
Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji kwa Wananchi wake na taasisi zake.
Kwasababu kinachofanyika Canada na Tanzania ni sawa, Aidha misimamo ya Sasa ya JPM na uwajibikaji wake kiuchumi na kifursa kwa Wananchi wake.
Pia uwezo wa Rais mpya wa Zanzibar Dkt. Mwinyi anayeonesha alama ya uwajibikaki na Mapinduzi mapya katika ustawi wa amani uchumi, nashauri na kuomba iwe sababu muhimu ya Ubalozi wa Marekani Tanzania kuyatambulisha yote haya kwa Biden ili mazungumzo yanayofata yawe kati ya Rais Biden na viongozi wetu hawa Wazalendo.
Kwa Afrika Tanzania ni kituo kikuu cha Amani na uwajibikaji, tunayo Demokrasia na mihimili inayojitegemea ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika.
Aidha historia ipo wazi kati yetu na Marekani, Kwa Mantiki hiyo Tanzania ipewe kipaumbele zaidi katika mawasiliano ya awali na Rais Biden kwa manufaa ya nchi na Africa kwa ujumla kiuchumi, Kisiasa na kijamii nina imani ili litatimia hivi karibuni.
Sasa hivi wako kimya wanasubiri list waone nani yumo nani hayumo, USA hawajajua tu siku wakigundua kuwa viongozi wa Tanzania mara nyingi safari zao muhimu ni India nafikiri watabadilisha mwelekeo wa vikwazo..Unaota wewe! Former Secretary of State, Michael Pompeo, alimtungua Makonda na sasa hivi kawatungua, baadhi ya maofisa wa serikali walioharibu uchaguzi wa mwaka jana! Hivi kwa kipi hasa CCM walichofanya hadi washinde kwa kishindo like that? Amka acha kubwabwaja!
huoni wivu tu hao waliouwawani lini wameuwawa unaushahidi wa kutosha kuelezea upuuzi uliouandika hapa?Yaani Biden usicheke na kima, Tanzania tumeshuhudia vyombo vya ulinzi na usalama vilivyokuwa vikiua watu hadharani mtaani.
Tumejionea kwa macho udanganyifu mkubwa na wizi wa kura.
Deogratias Mutungi Tanzania nzima hamna Mhaya wa hovyo kama wewe.