Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao.
Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za kiarabu alizopanga kuzitembelea anazo na bado alipotua Israel maelezo yake hayakuwa ya kutuliza hasira bali kuziongeza zaidi.
Amemwabia Benjamin Netanyahu waziri mkuu wa Israel kuwa anakusudia kuionesha dunia kuwa Marekani inaiunga mkono Israel.Akaongeza kuwa kwa kile alichokiona basi kombora lililopiga hospitali sio nyinyi mliofanya,Waliofanya ni watu wa upande mwengine.