4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kwan si mlishangilia walichofanya hamas , mnataka huruma ya watu ya nin?Anaitetea Israel mbele ya kadamnasi na wale aliotaraji wamelala katika kumuamini kwa kila anachosema.Unaonaje na wao wakisema wako pamoja na wapalestina mbele yake kama alivyokwishaanza Elsisi wa Misri.