Rais Biden ndiyo kalikoroga kabisa. Asema watakuwa pamoja na Israel kwa kila hali. Na Israel sio waliopiga hospitali ya Gaza

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao.

Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za kiarabu alizopanga kuzitembelea anazo na bado alipotua Israel maelezo yake hayakuwa ya kutuliza hasira bali kuziongeza zaidi.

Amemwabia Benjamin Netanyahu waziri mkuu wa Israel kuwa anakusudia kuionesha dunia kuwa Marekani inaiunga mkono Israel.Akaongeza kuwa kwa kile alichokiona basi kombora lililopiga hospitali sio nyinyi mliofanya,Waliofanya ni watu wa upande mwengine.

Biden pledges solidarity with Israelis and suggests 'other team' to blame for Gaza hospital blast

 
Nasubiri mwisho wa hii vita.
 
Tatizo waarabu nyie ni watu wajinga sana na ovyo kweli, unaanzisha vita then unahitaji USA atulize pale unapozidiwa et

Nyie waarabu mnatumika na Iran ambao Iran ni maadui wa Magharibi, hivyo hapo Iran ndio wanaovimbiwa na kuonyeshwa kibri na sio watu wa Gaza ok.

Iran bado hana uwezo mbele ya wakubwa wa Dunia, anawadanganya na kuwapa silaha but issue kuvimba vita iishe huo uwezo bado, amebaki huko kulalama death to Amerika itasaidia nini?
 
Biden haiko vizuri katika smart politics hata trump anamzidi, sijui democrants mara hi walishindwa je kupata cafidate smart kama Obama.
 

Huyu na urais mwakani ndiyo kwishney;

 
Mwisho wake naona kama ni kufutika kwa Israel na Marekani yake.
Amka uka kojoe mzee usije achia haja zote kitandani hapo ukiota kufutika kwa amerika na malaika mtoa roho israeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…