kwan si mlishangilia walichofanya hamas , mnataka huruma ya watu ya nin?Anaitetea Israel mbele ya kadamnasi na wale aliotaraji wamelala katika kumuamini kwa kila anachosema.Unaonaje na wao wakisema wako pamoja na wapalestina mbele yake kama alivyokwishaanza Elsisi wa Misri.
Stori za vijiweniUnaweza kukuta hata Biden kawekwa na wayahudi. Mambo ya Marekani na Usrael wanayajua wao. Hata mmoja akiua nchi nzima wanaungana mkono tu.
Biden sio mnafiki alichoongea ndicho alichopanga kukizungumza hajaenda middle East kutuliza hasira za waarabu ana mission zake tofauti kabisa.Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao.
Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za kiarabu alizopanga kuzitembelea anazo na bado alipotua Israel maelezo yake hayakuwa ya kutuliza hasira bali kuziongeza zaidi.
Amemwabia Benjamin Netanyahu waziri mkuu wa Israel kuwa anakusudia kuionesha dunia kuwa Marekani inaiunga mkono Israel.Akaongeza kuwa kwa kile alichokiona basi kombora lililopiga hospitali sio nyinyi mliofanya,Waliofanya ni watu wa upande mwengine.
Biden pledges solidarity with Israelis and suggests 'other team' to blame for Gaza hospital blast
View attachment 2785381
Mataifa yenye akili tu, ndio huweza kusimama na watoto wa Yakobo. Misimamo ya U. S.A ipo clear siku zote na hilo dunia ililitazamia. Mungu ibariki Israel.Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao.
Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za kiarabu alizopanga kuzitembelea anazo na bado alipotua Israel maelezo yake hayakuwa ya kutuliza hasira bali kuziongeza zaidi.
Amemwabia Benjamin Netanyahu waziri mkuu wa Israel kuwa anakusudia kuionesha dunia kuwa Marekani inaiunga mkono Israel.Akaongeza kuwa kwa kile alichokiona basi kombora lililopiga hospitali sio nyinyi mliofanya,Waliofanya ni watu wa upande mwengine.
Biden pledges solidarity with Israelis and suggests 'other team' to blame for Gaza hospital blast
View attachment 2785381
Hawa makobazi bado sana, waache walikoroge watatwangwa wote tena Iran na ka program kake ka nyuklia uchwara ndio wanamtamani haswa. Mungu ibariki Israel.Tatizo waarabu nyie ni watu wajinga sana na ovyo kweli, unaanzisha vita then unahitaji USA atulize pale unapozidiwa et
Nyie waarabu mnatumika na Iran ambao Iran ni maadui wa Magharibi, hivyo hapo Iran ndio wanaovimbiwa na kuonyeshwa kibri na sio watu wa Gaza ok.
Iran bado hana uwezo mbele ya wakubwa wa Dunia, anawadanganya na kuwapa silaha but issue kuvimba vita iishe huo uwezo bado, amebaki huko kulalama death to Amerika itasaidia nini?
Mwisho wake naona kama ni kufutika kwa Israel na Marekani yake.
Mtu mjinga tu ndio anayeweza kuona Hamas ni waovu lakini Israel sio waovu.Ulitegemea nini Rais wa Marekani aongee kwenye mazingira ya watu waovu kama Hamas....
Wajinga mbona mpo wengi?hao waisraeli ni wahuni tu wauaji na mashoga.ni taifa la kishetani.Mataifa yenye akili tu, ndio huweza kusimama na watoto wa Yakobo. Misimamo ya U. S.A ipo clear siku zote na hilo dunia ililitazamia. Mungu ibariki Israel.
Wewe hautakuwepoNasubiri mwisho wa hii vita.
HahahahDini imeingiaje hapo broo.wanagombea ardhi sio misikiti
Weka uthibitisho we mvaa pedoMda huu Kambi ya Jeshi ya US imelipuliwa huko Iraki
Sawa shogaTangu ulipopewa talaka na Tajiri wa kiarabu basi umekua na kisirani cha kike
Sasa ikiwa yy mwenyewe kaangamiza raia kibao Iraq,Libya,Afghanistan ndio ataumia kwa hao Wapalestina. Wamekutana hapo wote makatili.Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao.